Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 35,812
- 107,628
Hello there.
Tarehe na mwezi kama wa leo The First Causation teamed up with my mom to create me. It was a privilege I didn't asked it I was in the cosmic gateway of Uknown and known.. just like a smoke in the dark. Ila kwa upendo wake akanileta hapa duniani hivyo hivyo By God,To God, For God. I was named and knighted to the band of brothers to protect the Innocent and defending the weak by any means✊
Nimeangalia watu mbalimbali niliokua nao ambao hawakuwezakufika siku ya leo it's hurt Kwakweli like these two good guys nilizoeana nao ila leo hawapo wameacha watoto na wake tu.. Kiukwekeli kwa miaka ya sasa ni rahisi Ng'ombe kupita tundu la sindano kuliko kijana kutimiza au kuvuka miaka 30. We day very young sijui kwanini.
Lakini mimi ni nani hadi niweze kufika siku ya leo wakati vijana wengi hawakuweza kufikia? I'm nothing, I'm inconsequential hivyo sina budi kusema.
Zaburi 116:12
[12]Nimrudishie BWANA nini
Kwa ukarimu wake wote alionitendea?
Ecclesiastes aliwahi kusema kwamba
For with much wisdom comes much sorrow ,themore knowledge, the more grief. Na Charles Bukowaski akasema kwamba "Sadness is caused by Intelligence the more you understand certain things, the more you wish you didn't understand them.
Anyway lets keep enjoying this Precious little time called life maana ukishamaliza timeline yako ndo basi tena.
Happy birthday Vinchii🎂🎂
Kama kuna swali lolote, I'll gladly answer it/them ✌️