Leonardo Harold
JF-Expert Member
- May 13, 2019
- 1,088
- 2,122
Today marks the beginning of the Six-Day War in 1967.
Israel, who was overwhelmingly outnumbered in men, tanks, and planes - defeated an Arab coalition of 13 countries. We honor the ones who made the ultimate sacrifice for the sake of Israel's survival. #Israel
Via JOFFView attachment 2252296
Kwano vita ya juzi 2006 kuna ardhi ilichukuliwa?Muwe mnakumbuka na vita ya juzi 2006[emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji16], au mnajifanyaga wasahaulifu [emoji1787][emoji1787]
Ndio maana tukawambia humu msilalamike Urusi kurejesha jimbo lake Ukraine ila au ndio kunya anye bataKwano vita ya juzi 2006 kuna ardhi ilichukuliwa?
Sasa nyie huwa mnalalamika nini Israel kurejesha ardhi yake toka kwa wahuni waarabu sjasema waislam ✓ nasema waarabu wanaokalia ardhi ya myahudi lazma irudi aisee Lebanon, Jordan, Syria, Iraq hizi zote ni ardhi za myahudi lazma zirudi so mnyamaze wakati jamaa anabeba chake mdogo mdogo.🤪Ndio maana tukawambia humu msilalamike Urusi kurejesha jimbo lake Ukraine ila au ndio kunya anye bata
Tokea lini mzungu akawa na ardhi uarabuni, hata kama muengereza kawaika pale kwa mabavu kwa sababu hakuna nchi inayowapokea kutokana na laana haibadilishi ukweli wa asiliSasa nyie huwa mnalalamika nini Israel kurejesha ardhi yake toka kwa wahuni waarabu sjasema waislam ✓ nasema waarabu wanaokalia ardhi ya myahudi lazma irudi aisee Lebanon, Jordan, Syria, Iraq hizi zote ni ardhi za myahudi lazma zirudi so mnyamaze wakati jamaa anabeba chake mdogo mdogo.[emoji2957]
Mpaka Sasa UKRAINE wameshakula vichwa vya majenerali 12 wa Russia.Na Putin angekuwa anakwenda Frontline kama ilivyo Kwa Zenensky,wangeshakula kichwa 🤔... ndio Putin alitaka avunje rekodi kupitia Ukraine kwa 3 days operation? Amefeli pabaya sana; majenerali wamegeuzwa makafara uwanja wa vita!
Ambayo ilifanya milima ya golani ikarudi Syria? Au ardhi ya Palestina ikarudishwa? Kuna nini hasa remarkable kutoka kwa hiyo vita ili tuikumbuke pia.Muwe mnakumbuka na vita ya juzi 2006[emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji16], au mnajifanyaga wasahaulifu [emoji1787][emoji1787]
Sasa si hao waarabu wawatoe.Tatizo nini hadi wapo mpaka leo wakiendelea kula maishaTokea lini mzungu akawa na ardhi uarabuni, hata kama muengereza kawaika pale kwa mabavu kwa sababu hakuna nchi inayowapokea kutokana na laana haibadilishi ukweli wa asili