ni don't give fakiiSijaelewa maana ya uzi huu... Au ni dont giveup...
More blessing msisteri💦Kwenye maisha wewe ndio umebeba maono ya maisha yako.
💦Wewe ndo unajua wapi unataka kwenda.
💦Wewe ndo unaona kule unakokwenda.
💧Usikubali kuambiwa huwezi.
💧Usikubali kuambiwa hautafanikiwa.
💧Usikubali kuambiwa wengine walishindwa eti nawe utashindwa.
Wakikwambia hivyo cheka nao,halafu kaza buti....Cheka nao ila hesabu 💰💵 tofauti na hesabu zao...
Ikawe wiki njema kwako wewe usomae ujumbe huu
😍Asanteee my dear
Maneno mazuri sana ya kutia moyo! Shukrani sana mtoa mada
Kwahio hawa wanaoniambia siwezi kusafiri na kurudi jana nisiwasikilize niendelee kujaribu ? Au huyu anaeniambia siwezi kusimama kwenye kona ya chumba cha mviringo amechanganyikiwa....💧Usikubali kuambiwa wengine walishindwa eti nawe utashindwa.
Kwanini wawe wabishi chief