Today tips

Today tips

Kwahio hawa wanaoniambia siwezi kusafiri na kurudi jana nisiwasikilize niendelee kujaribu ? Au huyu anaeniambia siwezi kusimama kwenye kona ya chumba cha mviringo amechanganyikiwa....
😂😂😂😂
 
💦Kwenye maisha wewe ndio umebeba maono ya maisha yako.
💦Wewe ndo unajua wapi unataka kwenda.
💦Wewe ndo unaona kule unakokwenda.
💧Usikubali kuambiwa huwezi.
💧Usikubali kuambiwa hautafanikiwa.
💧Usikubali kuambiwa wengine walishindwa eti nawe utashindwa.
Wakikwambia hivyo cheka nao, halafu kaza buti....Cheka nao ila hesabu 💰💵 tofauti na hesabu zao...

Ikawe wiki njema kwako wewe usomae ujumbe huu
Safi....
 
Back
Top Bottom