💦Kwenye maisha wewe ndio umebeba maono ya maisha yako.
💦Wewe ndo unajua wapi unataka kwenda.
💦Wewe ndo unaona kule unakokwenda.
💧Usikubali kuambiwa huwezi.
💧Usikubali kuambiwa hautafanikiwa.
💧Usikubali kuambiwa wengine walishindwa eti nawe utashindwa.
Wakikwambia hivyo cheka nao, halafu kaza buti....Cheka nao ila hesabu 💰💵 tofauti na hesabu zao...
Ikawe wiki njema kwako wewe usomae ujumbe huu