Today's Kenya bigger news: President Magufuli quotes Saut Sol

Wewe unaejua imekusaidia nini zaidi ya kubaki utumwani [emoji23][emoji23][emoji23]
Nakijua ndio na sina shobo nacho,
Hawafahamiki hao Labda ni wabeba mabox, wafanya usafi na wapishi lakini Salim kikeke anafahamika EA hadi CA
Radio zetu za kishamba lakini sio ka zenu za kikabila ambazo haziwezi vuka border.
Wewe ndio huwafahamu kwa kuwa hata kiingereza kinakushinda, unamfahamu mtangazaji hata mmoja wa Al Jazeera??? Wewe kolea kwa hizo redio zenu za Kishamba [emoji23][emoji23]
 
Wewe unaejua imekusaidia nini zaidi ya kubaki utumwani [emoji23][emoji23][emoji23]
Nakijua ndio na sina shobo nacho,
Hawafahamiki hao Labda ni wabeba mabox, wafanya usafi na wapishi lakini Salim kikeke anafahamika EA hadi CA
Radio zetu za kishamba lakini sio ka zenu za kikabila ambazo haziwezi vuka border.
Mimi simfahamu huyo Salim kiherehere 😂
 
Back
Top Bottom