Wewe unaejua imekusaidia nini zaidi ya kubaki utumwani [emoji23][emoji23][emoji23]
Nakijua ndio na sina shobo nacho,
Hawafahamiki hao Labda ni wabeba mabox, wafanya usafi na wapishi lakini Salim kikeke anafahamika EA hadi CA
Radio zetu za kishamba lakini sio ka zenu za kikabila ambazo haziwezi vuka border.