Today's relationships

kama sio muaminifu, don't ask ur partner to trust u. Muambie kabisa mie kimeo,simu yangu usiguse. Mie nikikuta simu ina password na mie naweka yangu passowrd hadi kwenye charger! Tuone nani atakufa na presha kabla ya mwenzie.
 
...Not convinced, labda siku nipate mwenza mwelewa haswaa...lakini hawa wa akili za kuchangiwa, mnh...unampa access zote, siku ya siku unakuta ame clone details zako zote ready for prosecution box!

Mimi waifu nikimwambia aniazime simu nicheze gemu akijibu haiwezekani basi siku ya pili naanzisha sredi ya kutafta mchumba mwengine hapa JF. Kinamama naomba mniunge mkono kwa hili, nitawahitaji

...wakili, utayempata kwa sredi hiyo ajiandae naye na huo 'mhemuko' wa kuombwa simu uchezee gemu...khehehe

eeeh hayo maneno kama je yanaleta shaka usiulizwe?
na kama una maelezo ya kujitosheleza na kuridhisha kesho wala huulizwi
itakuja tu hata kw achenga chenga Mbu

...imagine ni message toka kwa mama mzazi anakuasa usisahau majukumu yako kwa nduguzo, ila
kwakuwa mke si mwelewa na tayari ana bifu na mama mkwe, inaanzisha soo mpya ndani ya nyumba.

Hizi sms sie wengine hatuthubutu kuwapa namba nyumba ndogo...lakini bado zinatu cost!
 
kama sio muaminifu, don't ask ur partner to trust u. Muambie kabisa mie kimeo,simu yangu usiguse. Mie nikikuta simu ina password na mie naweka yangu passowrd hadi kwenye charger! Tuone nani atakufa na presha kabla ya mwenzie.

Teh teh teh....dawa ya usanii ni usanii maradufu!
 
kama sio muaminifu, don't ask ur partner to trust u. Muambie kabisa mie kimeo,simu yangu usiguse. Mie nikikuta simu ina password na mie naweka yangu passowrd hadi kwenye charger! Tuone nani atakufa na presha kabla ya mwenzie.

hahahaha....

....huu u busy wa kuchunguza kwanini mwenzangu ameweka password etc kumbe unawasumbua wengi ee? sasa hapa mimi ndipo ninapokwazika, kwanini mtu aingie shida zote hizo kuhoji kwanini naweka password etc... kuna nini unachokitafuta kwa simu yangu kama sio ugomvi na shari?

...kwangu mie, password itabakia reminder kwa mwenza "mind your own business!"
 
swali la kizushi; ....hizi snowflakes zinazoanguka ni kwenye screen yangu tu, au na nyie mshaathirika nazo? jf never fails to amaze me!
 
swali la kizushi; ....hizi snowflakes zinazoanguka ni kwenye screen yangu tu, au na nyie mshaathirika nazo? jf never fails to amaze me!

Afadhali! Manake nimerusha uzi kule kwenye malalamiko halafu hakuna aliyejibu kwa hiyo nikaanza kudhani labda kuna mtu kaniroga na sasa nimeanza kuona maruweruwe!
 
sasa hapo huyo ushasema si mwelewa...yaani ndo usisaidie nduguzo sababu yake?
 
Tatizo si kupeana wala kunyimana simu.
Tatizo ni yanayofuata baaadaye, utapigwa maswali
kama uko kwa Pilato vile "Ilikuwaje? huyu ni nani?
mna uhusiano gani? kwa nini simjui?....

Watu wanapenda kutafuta mambo kwa hiyari yao,
lakini wakishaona tayari nongwa, maswali kibao,
kununiana na n.k. Pengine msg. iliyosema
"Mbona jana hukuja?" kumbe inatoka kwa shangazi yako.

"Kwa nini hukuandika jina basi nikajua ni ya shangazi yako?"
utaulizwa. Jamani, hivi nipangiwe nani niandike jina na uhusiano tulionao?
Nipangiwe nani wa kuwasiliana naye? Nilazimishwe awajuwe wote niwajuwao
na uhusiano wetu? Wakati wa kufanya yote hayo ulimengu huu wa mbio?

Mimi simzuwii mwenza kuona kuona simu yangu, kwa sharti la kutoulizwa maswali.
Yake wala sitoiuliza. Ya nini mapresha!
 
Afadhali! Manake nimerusha uzi kule kwenye malalamiko halafu hakuna aliyejibu kwa hiyo nikaanza kudhani labda kuna mtu kaniroga na sasa nimeanza kuona maruweruwe!

...ahhh, labda ni xmas bana...madhali nawe ni muathirika, kuna wengine pia wanashangaa ila wamejikausha na tai zao shingoni.

sasa hapo huyo ushasema si mwelewa...yaani ndo usisaidie nduguzo sababu yake?

...pheeewww, afadhali umekubaliana nami japo kwa shingo upande. Ajifanya si mwelewa, maana
hapo mwanzo kila kitu was ok....sijui ndio wivu wa kijinga, au madeko yalozidi?...inshort, inaudhi!
 
Hah Mbu bwana, unajiprotect sana bana ah. Ukiwa hivyo amini unajijengea mazingira ya kuvinjika haraka ujue. Si wanasema you can never be too careful? Nway uko right maana ukishang'atwa na nyoka you will always kuwa muoga kila jani!.

There was a time I used to ask myself kama nilishawahi kupenda kiukweli. Nina udhaifu wa kutokuwaga na mashaka na kuanza kufuatilia fuatilia mwenza wangu unless anipe sababu ya kufanya hayo. Na sababu yenyewe iwe ya maana, si shallow kama kuchelewa kurudi nyumbani! Nadhani nahitaji darasa la wivu.
 
Reactions: Mbu
Uaminifu wa mtu,ni mtu mwenyewe...
Hata ukikagua simu. Kama ni kukucheat atakucheat tu. Kwa kutumia mitandao mengine yenye private mesages au calls.
 
soulmate wewe ni mwelewa bana, wanipa raha....kama vidudu, msingi, na sekondari ningesomea kwako...
mida hii chuoni moyo wangu wa mapenzi usingekuwa ..... kiasi cha kuogopa hata ujani!
 
Today's Relationships: You can touch
each other, but not each other's phones.
Hii imekaaje?

IMO husbands and wives at any given time (without any questions) should have access to their spouses phones.
 
cheaters wajanja siku hizi hawategemei simu. Wao wako ktk mtandao, ma fesi buku, imeili nakadhalika. Huko mambo yote yanapangwa. kwa hiyo simu imepitwa na wakati kwa siriazi cheaters
 
IMO husbands and wives at any given time (without any questions) should have access to their spouses phones.

Right on my friend. To me, free and unfettered access to phones and other communication gizmos is a must.
 
cheaters wajanja siku hizi hawategemei simu. Wao wako ktk mtandao, ma fesi buku, imeili nakadhalika. Huko mambo yote yanapangwa. kwa hiyo simu imepitwa na wakati kwa siriazi cheaters

Hilo nalo neno.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…