Hah Mbu bwana, unajiprotect sana bana ah. Ukiwa hivyo amini unajijengea mazingira ya kuvinjika haraka ujue. Si wanasema you can never be too careful? Nway uko right maana ukishang'atwa na nyoka you will always kuwa muoga kila jani!.
There was a time I used to ask myself kama nilishawahi kupenda kiukweli. Nina udhaifu wa kutokuwaga na mashaka na kuanza kufuatilia fuatilia mwenza wangu unless anipe sababu ya kufanya hayo. Na sababu yenyewe iwe ya maana, si shallow kama kuchelewa kurudi nyumbani! Nadhani nahitaji darasa la wivu.