Today's relationships

Today's relationships

Ngabu unajua kucheza bao la kete au wewe wa karata?
 
Right on my friend. To me, free and unfettered access to phones and other communication gizmos is a must.

STUKA tena sana ukiona mume/mke simu yake anailinda sana ili mwenzake asiiguse. Kwenye ndoa hakutakiwi kuwa na siri ya aina yoyote ile kati ya mke na mume.
 
  • Thanks
Reactions: Mbu

Tena stuka haswa! Halafu unajua nini...mtu anapoficha ficha simu yake hiyo ni dead giveaway kuwa something is amiss.

Admittedly, a person can still play you even if they let you touch their phone. But still, being clingy to a phone is a bad look as far as I'm concerned. It's a cause for concern.
 
  • Thanks
Reactions: BAK

Thats true. Kama huna la kugicha kwann uwe na hofu juu ya simu yako ikiita tu au mesej ikiingia hata kama uko bafuni umejipakaa sabuni utatoka umekimbia ukiwa una povu ili mradi kuwahi simu yako.
Hii lazma ilete mashaka
 
Cheating Cheating... Unamcheat nani? unajicheat mwenyewe,mwisho ni wewe mwenyewe kukosa imani na nafsi yako na kujitazama kama Cheater.
 
Thats true. Kama huna la kugicha kwann uwe na hofu juu ya simu yako ikiita tu au mesej ikiingia hata kama uko bafuni umejipakaa sabuni utatoka umekimbia ukiwa una povu ili mradi kuwahi simu yako.
Hii lazma ilete mashaka

Yap..it's just common sense and it doesn't get any commoner than that.
 
STUKA tena sana ukiona mume/mke simu yake anailinda sana ili mwenzake asiiguse. Kwenye ndoa hakutakiwi kuwa na siri ya aina yoyote ile kati ya mke na mume.

....lol...kaka, haya nyie endeleeni na kujitolea muhanga,....shauri zenu!....

[h=2]Micah 7:5-7[/h]
[SUP]5[/SUP] Put no trust in a friend,
have no confidence in a loved one;
guard the doors of your mouth
from her who lies in your embrace;
[SUP]6[/SUP] for the son treats the father with contempt,
the daughter rises up against her mother,
the daughter-in-law against her mother-in-law;
your enemies are members of your own household.
[SUP]7[/SUP]
But as for me, I will look to the Lord,
I will wait for the God of my salvation;
my God will hear me.
 
Huu ulinganifu (comparison) una mashiko katika muktADHA WA SASA TU.................(lakini simu ni simu na mwili ni mwili kama kuna walakini OA SIMU
 
Hah wewe mwari, ni nini? Nani kakufundisha utundu! Uporoto hakufai ujue!

khaaa! Utaniharibia ndoa, we nikikwambia mbu hakufai utafurahi? Lol.
Uporoto saizi yangu kabisa. Hivi huwa unakagua simu ya mbu?
 
Hah Mbu bwana! Umekula kiapo?

...lol...kiapo cha nini tena yarabi? mie msema kweli daima bana, wengi waliomstari wa mbele (incl wakili klorokwini)
kukemea tabia hiyo, wengi wao ndio walio mstari wa mbele kuwaficha wenza wao yanayohusiana na simu zao...
yes i said it, otherwise...kwanini maugomvi mengi ya kizazi hiki yanahusisha matumizi ya mobile fones?

...aheri ya nusu shari bana, mie yangu nai lock 24/7...mambo ya kununiwa kisa nimepokea sms yenye xoxo, au kwanini nimejibu "me too...!," hapana kwa afya ya akili yangu.
 
as long as inakuwa mwanzo mwisho. Usianze na kucheka cheka anaposhika simu kwenye dates halafu baada ya kukubaliana na kula komamanga unaanza kukunja ndita simu inapoguswa na kwenye locks.
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
as long as inakuwa mwanzo mwisho. Usianze na kucheka cheka anaposhika simu kwenye dates halafu baada ya kukubaliana na kula komamanga unaanza kukunja ndita simu inapoguswa na kwenye locks.

images
....lol....sidanganyiki hata kwa tunda la peponi,...kuanzia 1st date msimamo ni huu....kama kuna msg ya kumuonyesha, handset naikamata mwenyewe,...kama atajidai haisomeki si nai forward tu...

BTW, naamini wengi wenu humu spouses wenu hawajui ids zenu, kwanini?...i stand corrected.
 
Kwa sababu watu kama ninyi mnapenda michango kutoka kumoyo, yenye mauzoefu ndani yake. Sasa wenzetu walivo na inferiority complex wanajudge evry single word, achia mbali sentensi, circumstance au body language.
 
images
....lol....sidanganyiki hata kwa tunda la peponi,...kuanzia 1st date msimamo ni huu....kama kuna msg ya kumuonyesha, handset naikamata mwenyewe,...kama atajidai haisomeki si nai forward tu...

BTW, naamini wengi wenu humu spouses wenu hawajui ids zenu, kwanini?...i stand corrected.

Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom