Toeni mishahara hawa walimu mtawauwa Wana hali mbaya vibaya mno

Mpwayungu Village

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
14,590
Reaction score
31,133
Tupo hapa Ushirombo tunakula supu ya mkia wa Ng'ombe na ulimi wa kuchoma ahsee nimeona idadi kubwa ya walimu wanakuja kukopa unga na dagaa hapa kwa Mangi hadi wote tukajiuliza kwani imekuweje? Mangi anasema walimu hawajapata mshahara bado.

Tukamuuliza kwani ni wao tu ndohawajapokea mshahara? Mangi akasema ni watumishi wote wa serikali ila walimu mishahara yao huwa midogo sana ndani ya week moja au mbili huwa ishakata baada ya hapo wanakula msoto mpaka mwezi ujao tena. Mangi daftari linajaa Kila baada mwezi mmoja kwa kujaza majina ya walimu wenye madeni pale Dukani, ukienda sokoni ndo balaa walimu tupu ndowanakopa kwa kusingizia mpaka mshahara ukitoka

Mimi binafsi hawa watu siwezi Kuja kuwakopesha hata Mia mbovu kwasababu hawana ubunifu wowote ule wa maisha, wao wanategemea mshahara tuuuu.. Zaidi utakuta wapo kwenye bodaboda, sensa, kuhesabisha kura za wizi na kuuzia watoto vitumbua na ubuyu wa rangi.

Walimu ni watu wenye maisha duni nadhani kuliko kiumbe chochote kiishicho kwenye huu ulimwengu. Hawa watu wanapitia mateso ya moto vibaya mnooo, nguo zao tu kwanza zote zimepigwa uzi wa fundi cherehani kwa kushona either viraka au kupunguza imekuwa bwanga kupita kiasi japo wengi wao wanavaa hivyo hivyo tena zile za mnadani za kurusha za buku au buku mbili. Walimu badilikeni
 
Supu saa kumi jioni!
 
Imagine na kishule shule anakutana na migogoro Kama hii 👇
IMG_9506.jpeg
 
Leo nataka nikukamate uongo wako, sema upo ushirombo sehemu gani? Maana wewe unakuga na hadidhi nyingi za kutembea kila pande Dunia.
 
Umekariri, walimu wa Zamani walikuwa na hali mbaya sio wasasa. Mwalimu wa zamani umkute anamiliki hata usafiri ilikuwa ni nadra sana..Sahivi wanamaisha tena Wasekondari ndo kabisa..hao labda wawe ajira mpya nao soon watakula kuku kwa mrija.
Huna akili wewe sijui unasemea walimu wapi, hawa hawa wanaotembea wanaongea peke yao barabarani kama wanaumwa dege dege?
 
Back
Top Bottom