Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,590
- 31,133
Supu saa kumi jioni!Tupo hapa Ushirombo tunakula supu ya mkia wa Ng'ombe na ulimi wa kuchoma ahsee nimeona idadi kubwa ya walimu wanakuja kukopa unga na dagaa hapa kwa Mangi hadi wote tukajiuliza kwani imekuweje? Mangi anasema walimu hawajapata mshahara bado.
Tukamuuliza kwani ni wao tu ndohawajapokea mshahara? Mangi akasema ni watumishi wote wa serikali ila walimu mishahara yao huwa midogo sana ndani ya week moja au mbili huwa ishakata baada ya hapo wanakula msoto mpaka mwezi ujao tena. Mangi daftari linajaa Kila baada mwezi mmoja kwa kujaza majina ya walimu wenye madeni pale Dukani, ukienda sokoni ndo balaa walimu tupu ndowanakopa kwa kusingizia mpaka mshahara ukitoka
Mimi binafsi hawa watu siwezi Kuja kuwakopesha hata Mia mbovu kwasababu hawana ubunifu wowote ule wa maisha, wao wanategemea mshahara tuuuu.. Zaidi utakuta wapo kwenye bodaboda, sensa, kuhesabisha kura za wizi na kuuzia watoto vitumbua na ubuyu wa rangi.
Walimu ni watu wenye maisha duni nadhani kuliko kiumbe chochote kiishicho kwenye huu ulimwengu. Hawa watu wanapitia mateso ya moto vibaya mnooo, nguo zao tu kwanza zote zimepigwa uzi wa fundi cherehani kwa kushona either viraka au kupunguza imekuwa bwanga kupita kiasi japo wengi wao wanavaa hivyo hivyo tena zile za mnadani za kurusha za buku au buku mbili. Walimu badilikeni
Na kuiba kura. Baada ya hapo yanatelekezwa ndio mana wamevubaa kama nungu nungu😀😀😀😀 kazi ya mwalimu wa Tanzania,1.kufundisha,2 kuchangia mwenge, 3. kuchangia cwt,4 .kujaza mikutano ya ccm
Ulitaka iwe saa kumi asubuhi?Supu saa kumi jioni!
Sifanyi kazi za kipumbavuWewe mwalimu kaa utulie
Leo nataka nikukamate uongo wako, sema upo ushirombo sehemu gani? Maana wewe unakuga na hadidhi nyingi za kutembea kila pande Dunia.Tupo hapa Ushirombo tunakula supu ya mkia wa Ng'ombe na ulimi wa kuchoma ahsee nimeona idadi kubwa ya walimu wanakuja kukopa unga na dagaa hapa kwa Mangi hadi wote tukajiuliza kwani imekuweje? Mangi anasema walimu hawajapata mshahara bado.
Tukamuuliza kwani ni wao tu ndohawajapokea mshahara? Mangi akasema ni watumishi wote wa serikali ila walimu mishahara yao huwa midogo sana ndani ya week moja au mbili huwa ishakata baada ya hapo wanakula msoto mpaka mwezi ujao tena. Mangi daftari linajaa Kila baada mwezi mmoja kwa kujaza majina ya walimu wenye madeni pale Dukani, ukienda sokoni ndo balaa walimu tupu ndowanakopa kwa kusingizia mpaka mshahara ukitoka
Mimi binafsi hawa watu siwezi Kuja kuwakopesha hata Mia mbovu kwasababu hawana ubunifu wowote ule wa maisha, wao wanategemea mshahara tuuuu.. Zaidi utakuta wapo kwenye bodaboda, sensa, kuhesabisha kura za wizi na kuuzia watoto vitumbua na ubuyu wa rangi.
Walimu ni watu wenye maisha duni nadhani kuliko kiumbe chochote kiishicho kwenye huu ulimwengu. Hawa watu wanapitia mateso ya moto vibaya mnooo, nguo zao tu kwanza zote zimepigwa uzi wa fundi cherehani kwa kushona either viraka au kupunguza imekuwa bwanga kupita kiasi japo wengi wao wanavaa hivyo hivyo tena zile za mnadani za kurusha za buku au buku mbili. Walimu badilikeni
Dogo baada ya kutengenezwa kiswaswadu chako umekuja kwa kasi.Na kuiba kura. Baada ya hapo yanatelekezwa ndio mana wamevubaa kama nungu nungu
KwemaMkuu,
Kwema!
Mkuu,
Kwema!
AtawauwaImagine na kishule shule anakutana na migogoro Kama hii 👇View attachment 3635490
Nina uwezo wa kukulisha ww na ukoo wenu wote kwa miaka 200Dogo baada ya kutengenezwa kiswaswadu chako umekuja kwa kasi.
Ahahah tuache wafu wazikane mkuu,Atawauwa
SunriseLeo nataka nikukamate uongo wako, sema upo ushirombo sehemu gani? Maana wewe unakuga na hadidhi nyingi za kutembea kila pande Dunia.
Kwanza napenda ufahamu Mimi ni mwl wa SM Mpilipili.Nina uwezo wa kukulisha ww na ukoo wenu wote kwa miaka 200
Huna akili wewe sijui unasemea walimu wapi, hawa hawa wanaotembea wanaongea peke yao barabarani kama wanaumwa dege dege?Umekariri, walimu wa Zamani walikuwa na hali mbaya sio wasasa. Mwalimu wa zamani umkute anamiliki hata usafiri ilikuwa ni nadra sana..Sahivi wanamaisha tena Wasekondari ndo kabisa..hao labda wawe ajira mpya nao soon watakula kuku kwa mrija.