Tofati ya TP Mazembe na Ruvu Shooting ni historia tu

je parle

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2018
Posts
2,022
Reaction score
3,919
Kama wewe ni mtu wa mpira utakuwa umeona kabisa TP Mazembe kwa misimu hii ya karibuni ni timu imekuwa ya kawaida mno. Tofauti yao kimchezo na Ruvu Shooting au KMC ni historia tu.

TP Mazembe wana historia kubwa ya kubeba ubingwa wa Africa Champions League, but right now ni timu ina average players ambao viwango vyao utavikuta KMC na Rruvu Sshooting.

Yanga wasije kuvimba kichwa na kujiona wakubwa kwa kuifunga timu iliyokuwa kubwa hapo zamani na sio sasa. Yanga wasije kutamba na kuwazodoa Ssimba kwa kichapo cha jana eti kwa kuwa wao wameshinda leo

Laiti Yanga angecheza na Raja jana, angechezea goli sio chini ya tano kwa mtungi.

Pamoja na Yanga kushinda leo kuna uwezekano wa kutokuendelea robo kutokana na kundi lao lilivyo na jinsi wanavyocheza ugenini.

Hongereni Yanga lakini msitambe sana kwa maana hao Mazembe wakicheza na Singida Big Stars sidhani kama Mazembe anaweza toka salama.

Yangu ni hayo tu.

Mtu wa ball, mtu wa mpira.
 
Ndio unajipa matumaini hvyo.. Dogo kubali kuwa Yanga sio size yenu.. nyie mnawazee na sio wachezaji..

Si ndo mlikuwa mnasema Yanga nae kashapoteza hv munadhani Yanga ni fala wakufungwa 3 kama nyie tena Nyumbani, pumbavu zenu nyie mmetutia aibu sana Madunduka
 
.
 
Pamoja na Yanga kushinda leo kuna uwezekano wa kutokuendelea robo kutokana na kundi lao lilivyo na jinsi wanavyocheza ugenini.
Wana nafasi nzuri sana ya kufuzu walipambana zaidi.

Hongereni Yanga lakini msitambe sana kwa maana hao Mazembe wakicheza na Singida Big Stars sidhani kama Mazembe anaweza toka salama.
Hili linawezekana...
 
Yanga wanacheza kombe gani na Simba wanacheza kombe gani?
 
Haya Kimbengu mwingine huyu huku
 
Watapinga mno,weeee fikiria eti yule Tonombo atoke Yanga aende kule Mazembe halafu useme Mazembe itakuwa na ubora kama wa kina Trevor Mputu?
 
Naona tp mazembe hawajakupa ulichotegemea!!

Hamkosagi Cha kusema kama kawaida yenu, kwahiyo kama sio Bora kafikaje makundi?

Msimu ulopita mazembe akifika nusu fainali shirikisho na nyie mlikuwepo huko mbona hamkufika?
 
Tupe na tathmini ya Simba na viwango vya team za Malawi na Angola katika hatua za awali
 
we ni mpumbavu
 
Huo ubora wako unautumiaje kwenye ligi ya ndani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…