je parle
JF-Expert Member
- Nov 28, 2018
- 2,022
- 3,919
Kama wewe ni mtu wa mpira utakuwa umeona kabisa TP Mazembe kwa misimu hii ya karibuni ni timu imekuwa ya kawaida mno. Tofauti yao kimchezo na Ruvu Shooting au KMC ni historia tu.
TP Mazembe wana historia kubwa ya kubeba ubingwa wa Africa Champions League, but right now ni timu ina average players ambao viwango vyao utavikuta KMC na Rruvu Sshooting.
Yanga wasije kuvimba kichwa na kujiona wakubwa kwa kuifunga timu iliyokuwa kubwa hapo zamani na sio sasa. Yanga wasije kutamba na kuwazodoa Ssimba kwa kichapo cha jana eti kwa kuwa wao wameshinda leo
Laiti Yanga angecheza na Raja jana, angechezea goli sio chini ya tano kwa mtungi.
Pamoja na Yanga kushinda leo kuna uwezekano wa kutokuendelea robo kutokana na kundi lao lilivyo na jinsi wanavyocheza ugenini.
Hongereni Yanga lakini msitambe sana kwa maana hao Mazembe wakicheza na Singida Big Stars sidhani kama Mazembe anaweza toka salama.
Yangu ni hayo tu.
Mtu wa ball, mtu wa mpira.