Tofati ya TP Mazembe na Ruvu Shooting ni historia tu

Makolo FC buana.
 
Ww jamaa bana!! hata hao raja hawajafanya vizur ktk misimu hii ya karibuni, acha ujinga mazembe wana quality kilichotokea jana ni mambo ya matokeo ya mpira tu.
 
TP Mazembe mliisifu sana kabla ya kufungwa na Yanga.
Huo ukawaida wake umeanza baada ya kufungwa na Yanga?
 
Kama hauja wahi wafunga Mazembe hata kwenye bonanza kaa kimya
Babu hiyo mazembe ishafungwa na azam mara mbili ,hakuna timu hapo kaka.

Muwe mnafuatilia mpira basi sio kuangalia mechi zenu za kichawi tu .tena mechi mna angalia timu yenu tu
 
Wewe umeifunga mara ngapi?
Azam waliwafunga mechi za mabonanza
 
Babu hiyo mazembe ishafungwa na azam mara mbili ,hakuna timu hapo kaka.

Muwe mnafuatilia mpira basi sio kuangalia mechi zenu za kichawi tu .tena mechi mna angalia timu yenu tu
Achana na Azam, Simba Je?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…