Tofauti kati ya alichoongea Ali Hapi wakati ule na anachoongea Polepole sasa ni ipi?

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2011
Posts
25,982
Reaction score
51,157
Kwenye hii "Clip" hapa chini Ali Hapi alionekana kuwakemea "wastaafu" aliodai wakati ule kuwa walikuwa wanamkwamisha Rais John Magufuli kwenye juhudi zake za kuijenga Tanzania.

Ukiisiliza clip hiyo zaidi ya utofauti wa nyakati, utofauti wa maneno ya Ali Hapi wakati ule na maneno ya Humphrey Polepole Sasa, ni nini?

Msikilize na ulinganishe na anachosema Polepole sasa.
 
View attachment 3460539

Pole Sana -
 
Tofauti hakuna mkuu. Hao ni wale wale. Kikubwa kwao ni masilahi ambayo yanaamua wawe mrengo wa upande gani.
 
Kwenye hii "Clip" hapa chini Ali Hapi alionekana kuwakemea "wastaafu" aliodai wakati ule kuwa walikuwa wanamkwamisha Rais John Magufuli kwenye juhudi zake za kuijenga Tanzania.

Ukiisiliza clip hiyo zaidi ya utofauti wa nyakati, utofauti wa maneno ya Ali Hapi wakati ule na maneno ya Humphrey Polepole Sasa, ni nini?

View attachment 3460539
Msikilize na ulinganishe na anachosema Polepole sasa.
Kwani Hapi yuko wapi siku hizi?
 
Huyu tafauti alikua chawa pro max..Pole pole sio uchawa anaongea reality
 
Back
Top Bottom