Mbute na chai
JF-Expert Member
- Jul 21, 2012
- 564
- 593
Jamani naomba kusaidiwa uelewa juu ya utofauti uliopo kati ya Bachelor of laws na Bachelor in laws kwa yeyote ajuaye.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ww hizo umezipata wapi ?
kuna facult inayoenda kwa jina la BA in laws na LL.B law, ushaidi tazama Jordan university morogoro kuna BA in laws na co law (LL.B). Msaada tafadhali wakuu hasa walio katika hii discipline husika.
Bachelor of Laws(kwa kilatini Legum Baccalaureus,LL.B) ndiyo imfanyayo mtu kuwa Mwanasheria. Bachelor of Arts in Law ni kinyume chake. Hiyo husomea mambo ya sanaa lakini ikionja kidogo ladha ya sheria. Hapo huwi mwanasheria.

Hatusemi facult bali faculty, na pia hapo hukupaswa kutumia faculty bali ulitakiwa kusema degree program...
good correction eh, I like it, big up!