wakuu naomba kujua tofauti ya hizi course kwa sababu Engineering geology ni miaka 4 UDSM na Bsc in geology ni 3yrs,sasa naomba tofauti zaid ya kitaaluma asanten
Hizo zote ni za miaka 4, tofauti ni kwamba huyo Wa Eng. Geology kuna vitu vingine wanasoma pamoja na watu Wa Civil Eng. Ila wote ni ma geologist na wanaweza kufanya kazi sawa za kijiolojia.