tofauti kati ya Bsc in Engeneering geology na Bsc in GEOLOGY

tofauti kati ya Bsc in Engeneering geology na Bsc in GEOLOGY

Mb-one

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2011
Posts
883
Reaction score
1,291
wakuu naomba kujua tofauti ya hizi course kwa sababu Engineering geology ni miaka 4 UDSM na Bsc in geology ni 3yrs,sasa naomba tofauti zaid ya kitaaluma asanten
 
Hizo zote ni za miaka 4, tofauti ni kwamba huyo Wa Eng. Geology kuna vitu vingine wanasoma pamoja na watu Wa Civil Eng. Ila wote ni ma geologist na wanaweza kufanya kazi sawa za kijiolojia.
 
Coz zote za geology udsm ni 4yrs cjui about applied geology ya udom!
 
Back
Top Bottom