Elections 2010 Tofauti kati ya CHADEMA na Vyama vingine

Elections 2010 Tofauti kati ya CHADEMA na Vyama vingine

Tofauti nyingine ni wakabila wadini na wenye vurugu wahuni
 
Chadema sio tu ni chama bali ni movement ya watu wasio na woga na wasimamia haki, usawa na ukweli.
Ni chama kinachosimamia falsafa ya NGUVU YA UMMA.
 
ni chama mbadala na chenye malengo ya kweli.
 
Chadema sio tu ni chama bali ni movement ya watu wasio na woga na wasimamia haki, usawa na ukweli.
Ni chama kinachosimamia falsafa ya NGUVU YA UMMA.
 
Chama kinachoongoza serikali indirectly na bado muda kidogo kukabidhiwa rasmi serikali na nguvu ya umma.
 
Ni chama chenye kuungwa mkono na makundi yote katika jamii..mf. vijana, wazee, matajiri, maskini, vilema, waliokata tamaa na maisha, watoto, viongozi wa dini, wasiokuwa na dini, mabalozi wa nje na ndani, kila kada ya serikali wanaifagilia CDM kwa mf. TISS, TPDF, POLICE, PRISON, MILITIA, ikulu, wizara zote, ndo maana wana data za kila idara...
 
na chama cha watanzania tofauti na ccm ni chama cha matajiri
 
Ni chama ambacho kimepata wapiganaji wanajitolea na si kuendekeza njaa, Wakati CCM inanunua watu wa kutetea upuuz wao,
 
Hakika haya yote unayoyasema ni ukweli mtupu na tayari CHADEMA wameonyesha hili kwa vitendo kabisaaa!!! Uongozi wa Juu na Kamati Kuu CHADEMA kwa kweli mnatufanya wananchi wa nchi hii kweli tujihisi kuwa ndio hasaa wenye nchi yetu na wala si vingineyo.

Endeeleeeeeni kuchapa kazi zaidi kwa misingi hii hii ya uadilifu na sisi kama wapiga kura TUNAPATA KUWAAMINI ZAIDI na zaidi.

Chadema ni chama Makini kinachosimamia Kile Wanachokiamini na Maamuzi yake kwa Ujumla..!Vyama vingine bado vinasita kusimamia maamuzi yake hasa Magamba..!Hongera Chadema kwa kusimamia maamuzi ya kamati kuu..!
Wadau mnaweza leta tofauti nyingine najua zipo nyingi..!
 
Ni chama ambacho bado kinasumbuliwa na jinamizi la ukabila na Udini! Bado hakiaminiwi na watanzani kwani bado kinaongonzwa kwa sauti ya watu watatu Mtei,Mbowe na Ndesambulo!
 
Ni chama ambacho bado kinasumbuliwa na jinamizi la ukabila na Udini! Bado hakiaminiwi na watanzania kwani bado kinaongonzwa kwa sauti ya watu watatu Mtei,Mbowe na Ndesambulo!
 
1. ni chama cha wachaga 2. udini, na wanachama wake wadini. 3. kampeni makanisani. 4. wabinafsi, wabaguzi. 5. wanaotaka kutumia damu ya watanzania kuingia ikulu.
 
hebu kua makini,hivi chadema unaijua?
 
1. ni chama cha wachaga 2. udini, na wanachama wake wadini. 3. kampeni makanisani. 4. wabinafsi, wabaguzi. 5. wanaotaka kutumia damu ya watanzania kuingia ikulu.
<br />
<br />
Japo umeandika pumba kibao ila nimeipenda point no.5, ni kweli kwasababu tanzania haiwezi kukombolewa kwa damu ya watu kutoka nchi nyingine
 
Chadema ni chama kisichopiga makofi hovyohovyo kama ccm na Anna makinda wao, ni chama kisichopenda kusifiwa na wanachama pindi wanapokuwa wanaongea mbele ya wananchi, CHADEMA ARE SERIOUS hata ccm wameamini, na wala hawakutaka kuwapa madiwani siku 90 za kuachia madaraka,, waliwapa siku kujipima wenyewe kisha wakasubili kunyolewa tena kwa chupa butu,,,,,,,,,people's poweeeeerrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom