Elections 2010 Tofauti kati ya CHADEMA na Vyama vingine

Ni chama kinachopambana na propaganda mbaya sana kwa ustawi wa taifa; udini, ukabila, nchi kutotawalika, vurugu na mengi yenye kufanana na hayo. Hata tanu na asp vilikutana na mbwembwe hizi wakati wa kumtimua mkoloni.
 
Ni chama ambacho hata mwalimu nyerere alikikubali na kukipenda kuwa kiko makini na katiba yake ni swadakta
 

kaka umenifurahisha sana, kiukweli ukiachana na Kikwete, waliobaki wengi wanaikubali sana CDM ila ndo basi hawana cha kufanya kwa vile wanalinda matumbo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…