Tofauti kati ya computer science na IT


Nimekuelewa sana kwa maelezo yako. vip upande wa networking hesabu lazima uijue?
 
Nimekuelewa sana kwa maelezo yako. vip upande wa networking hesabu lazima uijue?

Chotarasukari;

Katika miaka 10 20 iliyopita utafiti mkubwa ulifanyika kufanya matumizi ya computer kuwa user friendly. Network za sasa ni user friendly. Hivyo mtu yoyote anaweza kujifunza au kufanyia administration networks bila kuwa mkali wa hesabu.

Research zinaendelea kufanya network smarter. Hivyo muda si mrefu, network administration will be a dying profession.
 
Nimekuelewa sana. (mimi napenda sana nisome Networking) je itakua na faida kwangu hata kwa upande wa salary?. kama nikifanya ccna
 
Sitaki kumkejeli mtu au kushindana na mtu utakuta yeye anauelewa mkubwa zaidi yangu. Ila Jamiiforums watu hatujadili hoja au hatukosoi watu kisa tunajua ila tunakosoa tuonekane sisi ndo wajuaji! Mtu hajui hata maana IT lakini ataenda google atacopy alaf ata PEST huyo huyo mtu anaangalia videos YOUTUBE. Alaf anatujengea hapa hoja ambayo haitamsaidia mtu! I
kwenye post yangu hapo nyuma nlikuwa najaribu kumwelekeza kuna mtu kwasababu yeye alitaka kutengeneza Game kama fifa! Nikaweka points zangu on the table kuwa haiwezekani from my ideas and mimi nazielewa coz nasomea same thing SOFTWARE ENG AND PROGRAMING! kuna mtu kaandika ooh hutaajiriwa oooh huelewi ooooh hujielewi! Mm sigombani wala sibashani na ww ila argue from what you know alaf wengi ndo walee wanatoka jukwaa la siasa yaani kila kitu unataka tukuone unajua kisa GOOGLE na WIKIPIDIA! In 2011 nlikuwa mwenge Dar nikamkuta fundi wa computer elimu yake form 2 hajui english lakini anatengeneza Computer! Alaf kuna mwanafunzi leo kamaliza chuo aanajiita Mwana IT hajui chochote ila ana vyeti! In my point of view kwnye this industry currently tunaangalia wajuaji siyo wasomi! Our education system na nchi kibao bado hawajaelewa. Go to US yaani your trained mpaka unakuwa pro kwasababu that is what you know and your good at! Leo hii kama nitafungua kampuni nitamwajiri yule fundi wa Mwenge hata kama hana vyeti ila siyo huyu msomi.....
 
Labda.......... Ila kama watatoka wahitimu wataenda kufanya kazi za wana IT.....
 
So kwa watakao soma BIT nw wanauwezo wa kufanya kazi za IT pia na za mambo
Yanayo husiana na accnts
 
MOSHI UNIVERSITY COLLEGE OF COOPERATIVES STUDIES (MUCCOBS) iliyopo Moshi almaarufu kama ushirika wanatoa kuna Diploma of business and information technology na bachelor yake
 
Software pia inalipa, mi nadhani ni mtu mwenyewe kujishughulisha maana mimi nimemaliza computer science mwaka huu lakini tokea mwaka wa 2 nimeanza kula hela kwa kutengeneza software mbalimbali na web application, na sahivi sina muda nimepata great deal ya kutengeneza software ambayo ikiisha na umaskini ndio bye bye, so mi nadhani ni mtu tu ukiamua ufanye nini na ukiwa na mipango yako mizuri ktk maisha.
 
So kwa watakao soma BIT nw wanauwezo wa kufanya kazi za IT pia na za mambo
Yanayo husiana na accnts

Sidhani lazima utofauti utakuepo watu wanaosoma bit wanabase sana kwenye masomo kama decision support system management information system na maswala mengine yanayohusiana na biashara wakati watu wanaosoma it wanabase kidogo kwenye biashara na sana kwenye maswala yanayohusu app development system analysis database administration etc
 
Tuwasiliane ili nijue uko wapi kwanza au nikupe nikuonyeshe nilichokifanya na ww unioshe pia! Hamna mtu anadharau ila bongo tunapenda kuona tunaweza kitu ambacho hakiwezekani! Mimi sisomi nje ila nina ishi nje na ntafanya kazi nje so sidharau kitu,mtu wala nchi ila kwa upeo wangu mdogo kama unavyowaz/fikiria Tanzania kutoa wahitimu wa Software engineering kwa sasa ni useless ntasimamia hoja yangu kwani naelewa nachokisema.:bored::bored::cell:
 
Mimi niliwai kwenda IFM mwaka 2009 wakati nataka nisome IT na wakati huo nilkuwa tayar nimechukua form UDSM na niliambiwa unatakiwa uwe umesoma sayansi "O" au "A" Level. na pia kinaenda TCU kwa uchunguzi zaidi ndo nikapewa full details. QM uwezi fananisha na Mathematics za mlimani za watu wa Computer na Telecom. Nasema hv coz nlkuwa naona na nimemfundsha m2 wa IFM 2010 tukiwa hostel kijitonyama
 

Vijana wengi wanajidanganya kuhusiana na haya majina ya course. Bsc in IT, Bsc in Computer Eng na Bsc in Computer science na Software Eng ni kitu kimoja na kazi zao ni moja, inategemea muhusika alijikita hasa wapi. Hizi kozi zote zinahitaji juhudi binafsi ya mtu na kujituma pale alipo amau kujikita... kama Security, Network , Programming wote hao wanasoma, uzuri wa ajira ya hizi course kampuni nyingi sasa ivi awaangalii cheti isipo kua wanataka kujua wewe unajua nini. Tatizo letu watanzania bado ujinga umetujaa. Sijutii kusoma Bsc in IT...
 
Acha ushamba wewe kijana. Kwa kukusaidia nitajie kozi content za Software Eng, Computer Scince pamoja na IT alafu tuone tofauti yakE. na kukaa kwako kote nje ya nchi bado mtupu kichwani?

 
 
Certificate ni mwaka mmoja et?

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…