willy ze great
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 1,071
- 1,303
Wakuu naomba kujua hivo vitu am so confused
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
lakini kwa mazingira yetu africa ipi inakuwa ni nzuri kusoma
na linapokuja suala la ajira ipi ni nzuri.
Piaaaa nw kuna kitu tena kina itwa BUsness information technology {BIT} balaaaaaa nzuriiiii
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Niko chuo mwaka wa pili nachukua bachelor in Software Engineering iko poa and kuna kozi nyingine Computer Engineering ntaisoma aftr graduating this! Bongo Ukisoma IT utabaki home alaf kila mtu bongo anajua kutumia computer nlikuwa Dar last year nikamkuta fundi Computer elimu yake class 7! Thumb up vijana najua wengi wanasoma wafike vyuoni ila hana malengo! Watu mnacopy vitu wikipedia mna paste hapa tukuone unajua! Computer is very wide kwakweli and tanzania kuna IT na Computer science nliskia kuna mtu alinambia ila NIT sikumbuki jina vizuri i heard wanatoa hiyo Software Eng! IT na Computer science nikama Art subjects mwisho wa siku hao vijana wenye degree za IT wanashindania ajira na wale waliofeli form 4 au 6 ila wakajiendeleza kwenye vyuo Dareslaam alaf utakuta wako vizuri kweli because its about ujuzi na mapenzi waliyonayo kwenye computers yaani anafanya vitu yule mwenye degree ya Computer science hajui! Ukiangalia vyuo vya wenzetu kozi kama ya Computer eng ina envolv mahesabu na physics bcoz ndo mambo ya computer hardware mostly! Kwa software siwezi kusema kusema hiyo kozi ianzishwe kwasababu akimaliza chuo atakaa nyumbani Tanzania still its a developing coutry we are still not used to hardware so we cant have sofware yet!
Mhh Hapo ulitaka kuongea nini?Niko chuo mwaka wa pili nachukua bachelor in Software Engineering iko poa and kuna kozi nyingine Computer Engineering ntaisoma aftr graduating this! Bongo Ukisoma IT utabaki home alaf kila mtu bongo anajua kutumia computer nlikuwa Dar last year nikamkuta fundi Computer elimu yake class 7! Thumb up vijana najua wengi wanasoma wafike vyuoni ila hana malengo! Watu mnacopy vitu wikipedia mna paste hapa tukuone unajua! Computer is very wide kwakweli and tanzania kuna IT na Computer science nliskia kuna mtu alinambia ila NIT sikumbuki jina vizuri i heard wanatoa hiyo Software Eng! IT na Computer science nikama Art subjects mwisho wa siku hao vijana wenye degree za IT wanashindania ajira na wale waliofeli form 4 au 6 ila wakajiendeleza kwenye vyuo Dareslaam alaf utakuta wako vizuri kweli because its about ujuzi na mapenzi waliyonayo kwenye computers yaani anafanya vitu yule mwenye degree ya Computer science hajui! Ukiangalia vyuo vya wenzetu kozi kama ya Computer eng ina envolv mahesabu na physics bcoz ndo mambo ya computer hardware mostly! Kwa software siwezi kusema kusema hiyo kozi ianzishwe kwasababu akimaliza chuo atakaa nyumbani Tanzania still its a developing coutry we are still not used to hardware so we cant have sofware yet!
Huwezi kusomea software eng Tanzania kwa sasa thats why kuna IT instead! Ndo maana vyuo vya serikali havitoi hiyo software engineering because kwa soko la sasa la ajira Tanzania itakuwa useless.
Kama unapata chuo kizuri chenye walimu wazuri na vifaa vya kutosha na vya kisasa, Computer Science ni nzuri zaidi kwa ajili ya kusogeza maendeleo kwenye sekta nyingi kwa wakati mmoja.
Kwenye IT Science inajitahidi zaidi kuliko Computer Science. Hata hivyo hizo field zote 2 tayari ni ajira. Suala ni WEWE unapenda kuwa nani hasa.
Napingana na wewe mkuu na nasikitika kusema hujafanya research kabla ya kuongea. Mtu aliyesoma IT au computer scoence sio kweli wanakosa ajila labda walosoma vyuo vya mtaani. Kumbuka kwamba hata mtu wa IT anajifunza codding so anaweza develop database au some applications to run an organization. na kingine software Tanzania utamtebgenezea nani software au unapenda kujisifu kwa sababu ndo field unayosomea? Nasikitika kusema umedhaliliaha sana elimu yako chuo chako na wengine wote wanaosoma fani zinazoenda kumbuka unasoma system analysis wa It wanasoma vilevile unasoma Database development mtu wa it anasema vile vile nk. Kingine ni test ya mtu mtu aliyesoma IT anaweza maliza degree akaenda kuspecialize kwenye vitu kama network engennering, database administrator, software engeneering tena haitamchukua muda mara nyingi hua ni miez 12 hadi 18 so chondechonde usidharau watu mnaosoma nao fani zinazoendana eti hakuna ajira wakati IT, computer scientist ndio habari ya mjini kuzidi hata hao watu wa software ambayo tanzania ukiwambia watu watakushangaa utamtengenezea nani software wakati hata viwanda vya hadware hatuna? Fanya research
mimi nimefanya Bsc. hapa Tanzania naomba tupige challenge moja ktk software engineering tuone ukweli wa unachosema. Ninyi watu mnadharau vya kwetu mpaka mnakera. kusoma nje haikufanyi that much better.Huwezi kusomea software eng Tanzania kwa sasa thats why kuna IT instead! Ndo maana vyuo vya serikali havitoi hiyo software engineering because kwa soko la sasa la ajira Tanzania itakuwa useless.
nzuri ni ile itakayokusukuma mbele kwenye malengo yako.Kwa hyo ipi nzuri kati ya IT na Computer science
kwa sasa nasoma bachelor of science in education with ICT,udom,napenda kuendelea huko mbele computer science si inawezekana mkuu fadhili
Piaaaa nw kuna kitu tena kina itwa BUsness information technology {BIT} balaaaaaa nzuriiiii
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums