Tofauti kati ya diploma na advanced diploma

Tofauti kati ya diploma na advanced diploma

Hamna tena advance diploma zilzshaftwa sasa hv ni diploma na degree tu
 
Masters za Mzumbe sikuiz si kama za Kata tu, ila ukiwa na advanced dip inabidi usome post kwanza hicho chuo sasa naona kisha haribu reputation.

Watu kibao na advance diploma wamepata masters. GPA tu iwe nzuri. Hiyo post graduate hata kama una degree unasoma kuchukua masters kama una GPA ndogo.
 
Kaombe masters na advanced kama utapata.

avanced diploma+post graduate dip = degree

Mkuu usimpotoshe mwenzako mimi nimesoma masters kwa advance diploma mzumbe 2009 km una upper class ama lower class unaruhusiwa kufanya masters
 
hivi higher diploma inayotolewa na NACTE ndio sawa na Advanced diploma?:A S-confused1:
 
Kaombe masters na advanced kama utapata.

avanced diploma+post graduate dip = degree

nani kakudanganya mimi nina advanced diploma na sasa nafanya masters uk. rafki yangu amemaliza mzumbe masters Yale
 
hivi higher diploma inayotolewa na NACTE ndio sawa na Advanced diploma?:A S-confused1:

Hapana Excel,
higher Diploma ipo chini ya digrii,unahtaji mwaka mmoja zaid kukamilisha digrii.
 
Last edited by a moderator:
خصفخاكهقلعقدكببتميانمك4
 
Hapana Excel,
higher Diploma ipo chini ya digrii,unahtaji mwaka mmoja zaid kukamilisha digrii.

ahsante mkuu, lakini kwa higher diploma lets say ukiishia hapo, una uwezo wa kusoma masters baada ya muda gani wa working exprience?
 
خصفخاكهقلعقدكببتميانمك4

سهتش نعثمثصش ئنعع ،تشقهذع نعیشیشرعش نهیحلح !‏‎
‎
 
سهتش نعثمثصش ئنعع ،تشقهذع نعیشیشرعش نهیحلح !‏‎
‎

hahahha @ snipa unatishaaa
 
nani kakudanganya mimi nina advanced diploma na sasa nafanya masters uk. rafki yangu amemaliza mzumbe masters Yale
VYUO VINGINE KAMA ,UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM INATAMBUA ADVANCE DIPLOMA KAMA DIPLOMA YA KAWAIDA TU.MPAKA UCHUKUE POSTGRADUATE.ILA NNJE YA NCHI NA BAADHI YA VYUO WANATAMBUA KAMA BACHELOR TU.PITIA PITIA UONE
UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM
OFFICE OF THE DEPUTY VICE CHANCELLOR -
ACADEMIC

DIRECTORATE OF POSTGRADUATE STUDIES

ADMISSION INTO POSTGRADUATE PROGRAMMES FOR 2014/2015

The University of Dar es Salaam invites applications for admission into its postgraduate programmes for the 2014/2015
Academic Year.

Minimum Admission Requirements

1. Postgraduate Diploma

At least a Bachelors Degree, Advanced Diploma or its equivalent from a recognized institution of higher learning. Candidates
with equivalent qualifications must also possess at least Secondary School Certificates with credit passes.

Duration: 9-12 months.

2. Master’s Degree
(i) An honours Bachelor’s degree or equivalent qualifications. Applicants who hold unclassified degrees (e.g. B.V. Sc.
M.D. etc.) should have a credit or distinction in the subject of the intended Master’s programme. Candidates with
Pass degrees will also be considered if:-

a) Their undergraduate performance in the proposed subject of study was a ‘B’ grade or higher.
b) They have satisfied the relevant School/College/Institute that they have exhibited potential through
subsequent research experience and/or additional training.

(ii) An Advanced Diploma from a recognized higher learning institution with a minimum of an upper second class
PLUS Postgraduate Diploma and Secondary School Certificates.
 
Back
Top Bottom