TADPOLE
JF-Expert Member
- Nov 18, 2015
- 2,914
- 9,472
Kabla ya salamu wana mmu napenda nifafanue maana ya domozege na domowaleti kwa ufupi domo zege ni mtu amcye anashindwa kueleza hisia zake kwa mtu anayempenda na kubaki anaumia mwenyewe lakini domo waleti huwa haongei maneno mengi bali anatumia pesa kumvuta ampendae na hizi ndo tofauti zao kubwa;
1. Domo zege anaposhauriwa na jamaa zake atumie ushawishi wa fedha kupata mwenzi majibu yake yanakuwa ya kuudhi utasikia"bwana ee kama mapenzi pesa mpeleke dadako akaolewe na tigo pesa"lakini domo waleti ukimshauri hivyo kichwa kinakuwa kikubwa anapanda dau.
2. Katika kundi la watu mkianzisha mada ya mapenzi either kusifia mademu domo zege anadisapear kimtindo lakini domo waleti huwa mchangiaji mkuu.
3. Domo waleti siku zote huwa na idadi kubwa ya madem lakini domo zege anaumia tu kimoyomoyo.
4. Domo zege wengi hutumia makuwadi kutongoza lakini domo waleti ye anajitosa tu haya sasa habari zenu wana jf.
Nb; Ni hayo tu kama kuna anayejua tofauti zaidi tuenjoy wote ucheshi huu.