Tofauti kati ya domozege na domo waleti

Tofauti kati ya domozege na domo waleti

TADPOLE

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2015
Posts
2,914
Reaction score
9,472
Kabla ya salamu wana mmu napenda nifafanue maana ya domozege na domowaleti kwa ufupi domo zege ni mtu amcye anashindwa kueleza hisia zake kwa mtu anayempenda na kubaki anaumia mwenyewe lakini domo waleti huwa haongei maneno mengi bali anatumia pesa kumvuta ampendae na hizi ndo tofauti zao kubwa;

1. Domo zege anaposhauriwa na jamaa zake atumie ushawishi wa fedha kupata mwenzi majibu yake yanakuwa ya kuudhi utasikia"bwana ee kama mapenzi pesa mpeleke dadako akaolewe na tigo pesa"lakini domo waleti ukimshauri hivyo kichwa kinakuwa kikubwa anapanda dau.

2. Katika kundi la watu mkianzisha mada ya mapenzi either kusifia mademu domo zege anadisapear kimtindo lakini domo waleti huwa mchangiaji mkuu.

3. Domo waleti siku zote huwa na idadi kubwa ya madem lakini domo zege anaumia tu kimoyomoyo.

4. Domo zege wengi hutumia makuwadi kutongoza lakini domo waleti ye anajitosa tu haya sasa habari zenu wana jf.

Nb; Ni hayo tu kama kuna anayejua tofauti zaidi tuenjoy wote ucheshi huu.
 
domo zege+domo waleti ss mkuu tafadhali toa ushauri kipi bora kati ya..
 
Bora wewe umesema wazi wazi kabisa kuwa kuna
madomo waleti VS Madomo zege (kama yamepigwa gundi)
mdomoni.
 
Mambo yako umemaliza mpaka una discuss ya watu jombaa
 
Chaaaa madomo zege na madomo wallet mpoo?!
 
Penye udhia penyeza rupia. Mkono mtupu haulambwi. Unapenda bila pesa utaishia kuumizwa roho na kula kwa macho,mkono wa kulia na remote control.
 
Is domo equal to mdomo?
A hole through which food and water enters the body?
A hole through which feelings from the heart come out inform of sound?
 
Back
Top Bottom