Tofauti kati ya full time 4wd na part time 4wd

Tofauti kati ya full time 4wd na part time 4wd

FrankMakeps

Member
Joined
Apr 1, 2013
Posts
96
Reaction score
81
Jamani wanajamvi naombeni mnielekeze utofauti kati ya full time 4wd na part time 4wd zinafanyaje kazi asanten
 
Jamani wanajamvi naombeni mnielekeze utofauti kati ya full time 4wd na part time 4wd zinafanyaje kazi asanten
Full time ni kuwa matairi yote manne yanaendesha gari muda wote. Part time i kuwa unaweza kuswitch kati ya 4wd or 2wd ukitaka, yaani gari ina uwezo wa 4wd lakin kama hutaki 4wd basi unaswitch to 2 wd
 
Thanks buddy
Full time ni kuwa matairi yote manne yanaendesha gari muda wote. Part time i kuwa unaweza kuswitch kati ya 4wd or 2wd ukitaka, yaani gari ina uwezo wa 4wd lakin kama hutaki 4wd basi unaswitch to 2 wd
 
full time hapo gari huna option yoyote ya kiubadili ni inavuta muda wote lakini ile nyingine una amua ku ingage au usiingage full time usiinunue
 
Zipo gari nyingi tu ambazo ni full time 4wd tangu zamani mfano ni land rover 110 nadhani pia subaru tangu enzi hizo. Kila mfumo una uzuri/faida na ubaya/hasara zake kwenye matumizi ya kila siku. Nitatoa mfano nilishakuwa na land cruiser HJ60 miaka ya 90 halafu na pia land rover 110 katika mizunguko ipo siku cross joint ilikufa ktk cruiser porini huko Mvuti, nikafungua propeller nikaunga front wheel nikarudi mjini na ikatokea pia ktk 110 ilibidi kuvutwa tu, ukitoa propeller mwisho wa taarifa ya habari
 
Back
Top Bottom