FrankMakeps
Member
- Apr 1, 2013
- 96
- 81
Jamani wanajamvi naombeni mnielekeze utofauti kati ya full time 4wd na part time 4wd zinafanyaje kazi asanten
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Full time ni kuwa matairi yote manne yanaendesha gari muda wote. Part time i kuwa unaweza kuswitch kati ya 4wd or 2wd ukitaka, yaani gari ina uwezo wa 4wd lakin kama hutaki 4wd basi unaswitch to 2 wdJamani wanajamvi naombeni mnielekeze utofauti kati ya full time 4wd na part time 4wd zinafanyaje kazi asanten
Full time ni kuwa matairi yote manne yanaendesha gari muda wote. Part time i kuwa unaweza kuswitch kati ya 4wd or 2wd ukitaka, yaani gari ina uwezo wa 4wd lakin kama hutaki 4wd basi unaswitch to 2 wd
Hakuna uhusiano kati ya fulltime 4wd na ulaji mafutaFull Time wese lake si LA kidebe