Mm nifundi WA Hayo MAGARI KARIBU nikupe somo na faida.
Ushauri mzuriHayo Magari yote uliyotaja unaweza kupata yenye engine moja ambayo ni 2.4 ya 2AZ (cc2362) nikimaanisha matumizi yake ya mafuta ni sawa regardless uzito wa gari coz zinatumia engine aina moja.
Gari hizo zote una uhakika wa kutembea kuanzia 9 plus km/l kwenye urban areas mkuu kama gari ipo kwenye hali nzuri
Ila ukikosea ukachukua Harrier au Kluger yenye 3.0 yani 1MZ engine utaumia coz hizo kwa urban areasunatembea 5.5 plus km/l, Halafu cku hizi matapeli ni wengi hapa bongo wanatoa label za 3.0L wanaweka Four au 2.4G nyuma ya mlango wa hizo gari ili mtu ujue zina engine ya 4Cylinders na wengi bila kukagua engine wanaingia kwenye huo mtego na kunua engine ya 6Cylinder wakizani wamenunua engine ya 4 ya 2.4
Angalia huitaji wako wa gari kama ni for family na unatoka sana na watoto unaweza chukua hilo basi (Alphard), Kama unapita offroad na unataka comfortability sana tumia Harrier na Kluger pia inafata
Budget wise hizo gari ziko hivi
Alphard Milioni 16+
Kluger ni Milioni 22+
Harrier ni Milioni 28+
Hapo kwenye dual vvti na single am afraid to say AZ series engine bado sijaona ambazo zinatumia dual vvti technology ila kwenye Mark x, Crown,Camry,Alteza nk unaweza pata hizo dual vvti engines
Thanks kwa mchango wako mkuu.Hayo Magari yote uliyotaja unaweza kupata yenye engine moja ambayo ni 2.4 ya 2AZ (cc2362) nikimaanisha matumizi yake ya mafuta ni sawa regardless uzito wa gari coz zinatumia engine aina moja.
Gari hizo zote una uhakika wa kutembea kuanzia 9 plus km/l kwenye urban areas mkuu kama gari ipo kwenye hali nzuri
Ila ukikosea ukachukua Harrier au Kluger yenye 3.0 yani 1MZ engine utaumia coz hizo kwa urban areasunatembea 5.5 plus km/l, Halafu cku hizi matapeli ni wengi hapa bongo wanatoa label za 3.0L wanaweka Four au 2.4G nyuma ya mlango wa hizo gari ili mtu ujue zina engine ya 4Cylinders na wengi bila kukagua engine wanaingia kwenye huo mtego na kunua engine ya 6Cylinder wakizani wamenunua engine ya 4 ya 2.4
Angalia huitaji wako wa gari kama ni for family na unatoka sana na watoto unaweza chukua hilo basi (Alphard), Kama unapita offroad na unataka comfortability sana tumia Harrier na Kluger pia inafata
Budget wise hizo gari ziko hivi
Alphard Milioni 16+
Kluger ni Milioni 22+
Harrier ni Milioni 28+
Hapo kwenye dual vvti na single am afraid to say AZ series engine bado sijaona ambazo zinatumia dual vvti technology ila kwenye Mark x, Crown,Camry,Alteza nk unaweza pata hizo dual vvti engines
Mm nifundi WA Hayo MAGARI KARIBU nikupe somo na faida.
NiceHayo Magari yote uliyotaja unaweza kupata yenye engine moja ambayo ni 2.4 ya 2AZ (cc2362) nikimaanisha matumizi yake ya mafuta ni sawa regardless uzito wa gari coz zinatumia engine aina moja.