Tofauti kati ya Harrier, Lexus na Kruger

muzi

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2016
Posts
1,041
Reaction score
1,457
Guys hope doing great!
Naomba tupeane uzoefu kwa magari tajwa hapo juu
Vipi suala la economical fuel consumption, frequencye mainatance, availabilty and cost of spear parts, withstanding long distance drive, harsh weather condition, rough road in rural areas and the like.
Ntashukuru sana ili niweze kufanya maamuzi makini na sahihi na siyo maamuzi ya mwendo kasi
Best regards
 
Ungetaja Generation au Mwaka. Hayo magari yote yana generations (models) zaidi ya Moja.
Ungetaka kupambanisha unasema maybe Harrier 2008 vs Kruger 2010.

Pia Toyota Harrier ni sawa na Lexus RX ni gari moja kasoro badge tu.

Sawa na Altezza na Lexus IS200.

Kwahiyo vita inabaki kati ya Harrier/Lexus RX vs Kruger.

Harrier ana generations kuu mbili, 1997 to 2003 ni first generation na Second generation ni 2003 to 2013.

Kruger aka Highlander yeye ana generation 3. ya kwanza 2000 to 2007, ya pili 2007 to 2013 na ya tatu 2013 to present.

Chagua mwaka unaoutaka tuyapambanishe.

HARRIER/LEXUS RX 300/RX 330/ RX 350 na RX 400h

First Generation UX10 /UX15.
Hii ni generation ya kwanza ya hii gari, 1997 to 2003.
Ina engine 2.2L, 2.4L au 3 na zipo 4 inline cylinders na 6 cylinders V6. Engine types ni
2.2 L 5S-FE I4 (inaproduce 137Hp)
2.4 L 2AZ-FE I4 (inazalisha 157Hp, ndio ili liplace hiyo engine ya juu mwaka 2002)
3.0 L 1MZ-FE V6 (inatoa 220Hp)

Kwahiyo ulaji wa mafuta itategemeana na displacement, factors nyinginr zikiwa constant.
Hii model ndio zipo nyingi hapa mjini, UX 10 FWD na UX 15 ni 4WD.

Second Generation UX 30
Hii mwaka 2003 hadi 2013. Engine yake kubwa zaidi, zote V6 na abobe 3.0L. Available engines ni:
3.0 L 1MZ-FE V6
3.3 L 3MZ-FE V6
3.5 L 2GR-FE V6

Kuna option za FWD na 4WD.
Hii hapa mjini ndio tunaziitaga New Model. Ukiangalia Engine yake tegemea ulaji mkubwa wa mafuta, pia ata pesa ya kuli purchase itakua ndefu kidogo.

Harrier ndio aliishia hapo, 2013. Ila kuna 3rd generation ya Lexus RX., sipo vizuri sana. Ilianza mwaka 2008 to 2015.
 
Nadhani tungetumia kigezo cha 2369Cc kama mwongozo wetu.

Lipi lenye Fuel consuption..

Durability....

Ukubwa wa injini (Cc)...

Lipi bora kwenye Balance ya kasi inayofikia 110k/h

Lipi for the best ya long safari kuliko yote hapo..

Lipi lenye Confortability zaidi hapo...

Lipi lenye gharama nafuu kidogo kat ya hayo (maintanence)..

Mengine yana dual vvti ni nini hii? tofauti na lile la single vvti..

If am wrong correct me... Hebu tuanzie hapo kwa wenye uelewa wana JF.
 
Nunua tu Harrier ila jiandae na mafuta limetulia sana barabarani
 
Mm nifundi WA Hayo MAGARI KARIBU nikupe somo na faida.

Hayo Magari yote uliyotaja unaweza kupata yenye engine moja ambayo ni 2.4 ya 2AZ (cc2362) nikimaanisha matumizi yake ya mafuta ni sawa regardless uzito wa gari coz zinatumia engine aina moja.

Gari hizo zote una uhakika wa kutembea kuanzia 9 plus km/l kwenye urban areas mkuu kama gari ipo kwenye hali nzuri

Ila ukikosea ukachukua Harrier au Kluger yenye 3.0 yani 1MZ engine utaumia coz hizo kwa urban areasunatembea 5.5 plus km/l, Halafu cku hizi matapeli ni wengi hapa bongo wanatoa label za 3.0L wanaweka Four au 2.4G nyuma ya mlango wa hizo gari ili mtu ujue zina engine ya 4Cylinders na wengi bila kukagua engine wanaingia kwenye huo mtego na kunua engine ya 6Cylinder wakizani wamenunua engine ya 4 ya 2.4

Angalia huitaji wako wa gari kama ni for family na unatoka sana na watoto unaweza chukua hilo basi (Alphard), Kama unapita offroad na unataka comfortability sana tumia Harrier na Kluger pia inafata

Budget wise hizo gari ziko hivi

Alphard Milioni 16+
Kluger ni Milioni 22+
Harrier ni Milioni 28+

Hapo kwenye dual vvti na single am afraid to say AZ series engine bado sijaona ambazo zinatumia dual vvti technology ila kwenye Mark x, Crown,Camry,Alteza nk unaweza pata hizo dual vvti engines
 
Ushauri mzuri
 
Kwa uzoefu wangu, nunua Alphard 2.4, utumiaji wa mafuta ni mzuri sana, na pia ni gari zuri kwa familia. Barabarani imetulia. Mwanza unaweza kwenda na kurudi from dar kwa tzs 460,000, tena with full ac all the time.
 
Hayo Magari yote uliyotaja unaweza kupata yenye engine moja ambayo ni 2.4 ya 2AZ (cc2362) nikimaanisha matumizi yake ya mafuta ni sawa regardless uzito wa gari coz zinatumia engine aina moja.

Gari hizo zote una uhakika wa kutembea kuanzia 9 plus km/l kwenye urban areas mkuu kama gari ipo kwenye hali nzuri

Ila ukikosea ukachukua Harrier au Kluger yenye 3.0 yani 1MZ engine utaumia coz hizo kwa urban areasunatembea 5.5 plus km/l, Halafu cku hizi matapeli ni wengi hapa bongo wanatoa label za 3.0L wanaweka Four au 2.4G nyuma ya mlango wa hizo gari ili mtu ujue zina engine ya 4Cylinders na wengi bila kukagua engine wanaingia kwenye huo mtego na kunua engine ya 6Cylinder wakizani wamenunua engine ya 4 ya 2.4

Angalia huitaji wako wa gari kama ni for family na unatoka sana na watoto unaweza chukua hilo basi (Alphard), Kama unapita offroad na unataka comfortability sana tumia Harrier na Kluger pia inafata

Budget wise hizo gari ziko hivi

Alphard Milioni 16+
Kluger ni Milioni 22+
Harrier ni Milioni 28+

Hapo kwenye dual vvti na single am afraid to say AZ series engine bado sijaona ambazo zinatumia dual vvti technology ila kwenye Mark x, Crown,Camry,Alteza nk unaweza pata hizo dual vvti engines
Thanks kwa mchango wako mkuu.
 
Nawasalimu,

Nahitaji kununua moja kati ya gari hizi. Nimekuja hapa nipate uelewa zaidi kutoka kwenu kwa kuwa, navutiwa sana na aina hizi za magari lakini sina uzoefu nazo. Kwa ujumla hii itakuwa gari yangu ya kwanza kununua hivyo basi, sina uelewa sana kuhusu magari.
 
Harrier ziko model nyingi sana unlike Kluger kwa hapa Tz ziko model mbili tu
 
Hayo Magari yote uliyotaja unaweza kupata yenye engine moja ambayo ni 2.4 ya 2AZ (cc2362) nikimaanisha matumizi yake ya mafuta ni sawa regardless uzito wa gari coz zinatumia engine aina moja.

Gari hizo zote una uhakika wa kutembea kuanzia 9 plus km/l kwenye urban areas mkuu kama gari ipo kwenye hali nzuri

Ila ukikosea ukachukua Harrier au Kluger yenye 3.0 yani 1MZ engine utaumia coz hizo kwa urban areasunatembea 5.5 plus km/l, Halafu cku hizi matapeli ni wengi hapa bongo wanatoa label za 3.0L wanaweka Four au 2.4G nyuma ya mlango wa hizo gari ili mtu ujue zina engine ya 4Cylinders na wengi bila kukagua engine wanaingia kwenye huo mtego na kunua engine ya 6Cylinder wakizani wamenunua engine ya 4 ya 2.4

Angalia huitaji wako wa gari kama ni for family na unatoka sana na watoto unaweza chukua hilo basi (Alphard), Kama unapita offroad na unataka comfortability sana tumia Harrier na Kluger pia inafata

Budget wise hizo gari ziko hivi

Alphard Milioni 16+
Kluger ni Milioni 22+
Harrier ni Milioni 28+

Hapo kwenye dual vvti na single am afraid to say AZ series engine bado sijaona ambazo zinatumia dual vvti technology ila kwenye Mark x, Crown,Camry,Alteza nk unaweza pata hizo dual vvti engines
Nice
 
Back
Top Bottom