Tumpara Dudu
JF-Expert Member
- Nov 15, 2016
- 625
- 506
Habari za mda huu wandugu?
Msada wenu wananipo naomba kujulishwa tofauti kati ya jaji na hakimu
Msada wenu wananipo naomba kujulishwa tofauti kati ya jaji na hakimu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahsante kwa ufafanuzi kakaNadhani Ni mtu mmoja hapo Ni lugha tu.
Judge ni muamuzi ambaye ana toa maamuzi katika mahakama kuuHabari za mda huu wandugu?
Msada wenu wananipo naomba kujulishwa tofauti kati ya jaji na hakimu
NIMEELEWA KIASI ILA NAOMBA UFAFANUZI TENA KWAKO AU KWA YOYOTE !!!Judge ni muamuzi ambaye ana toa maamuzi katika mahakama kuu
Na hakimu ni muamuzi anayetoa maamuzi katika mahakama ya mwanzo na wilaya na hakimu mkazi
Habari za mda huu wandugu?
Msada wenu wananipo naomba kujulishwa tofauti kati ya jaji na hakimu
Basi huenda Ni uhaba wa misamiati au ni nini? Nataka kujua Hakimu kwa Kiingereza anaitwaje? Na Jaji kwa Kiingereza anaitwaje? Unaweza nishangaa Ila naomba majibu..
Namba 9 siyo mchezo, ila sidhani kama mkuu alikuwa anahitaji hiyo tofautiWote wanatafsiri sheria lakni katika nyanja tofauti na mzaingira tofauti na tofauti zao ni kama ifuatavyo
(1)Majaji wanahudumu mahakama kuuu na mahakama ya rufaa tuu wakati hakimu anahudumu mahakama ya mwanzo,mahakama ya wilaya na mahakama ya mafawidhi(residence magistrate court
(2)Majaji wote wapo kikatiba na stahiki zao zimeanishwa kikatiba wakati hakimu anashugulikiwa na utumishi wa tume ya mahakama
(3)majiji wote wanateuliwa na rais na akiwateua hana ujanja wa kumfukuza tena,mahakimu kufukuzwa ni muda wowote ule
(4)Ili uteuliwe kuwa jaji ni lazima uwe na degree ya sheria,uwe umepita shule ya sheri na uwe umefanya kazi za uwakili kwa muda usiopungua miaka 5 au 8 mahakama kuu ,hakimu akiwa na degree tu inatosha na uwakili kwa sasa
(5)Mahakama kuu kesi inapangiwa budget ndo inaanza kusikilizwa wakati huku chini kesi zinasikilizwa bila budget
(6)Jaji akistafu analipwa 80% ya mshahara wake,gari na marupurupu mengine hadi anakufa wakati hakimu ukistafu ndio kwisha na hana chake tena
(7)Jaji hukumu yake akitaka anaweza kwenda kuandikia Uk au. USA au sehmu nyingine yeyote anayotaka duniani wakati hakimu hukumu yake anaandalia nyumbani kwake au kazini
(8)Jaji anapewa ulinzi wa polisi full time wakati hakimu hana hilo
(9)Jaji kama anaishi peponi wakati hakimu kama anaishi kuzimu
(10)Hakimu kufukuzwa kazi ni muda wowote wakati Jaji hata mtu aliyemteua kwa maana rais hana ujanja wa kumtimua
Tofauti ni nyingi mno na hao ni watu wawili tofauti japo wote wanatafsiri sheria