DSLR vs Smartphone?
Hapo tofauti kubwa za kiutendaji ni Sensor na Lensi. Camera zina Sensor kubwa mfano DSLR zina 36 x 24 mm, wakati iPhone 15 ina 7.6 x 5.7 mm.
Pia, Lens zinabadirishika kwenye DSLR wakati kwenye simu zipo fixed. Maelezo yake marefu ila DSLR ya $350 inaweka ikimbiza vibaya sana Smartphone ya $1000 kwenye image quality.