Tofauti kati ya kuku aina ya croiler na broiler ni nini hasa?

Tofauti kati ya kuku aina ya croiler na broiler ni nini hasa?

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
49,390
Reaction score
152,301
Hawa croiler tunaambiwa wanakaribiana na kuku wa kienyeji tofauti na broiler ambao ni pure kuku wa kisasa.

Ukifuatilia utagundua tofauti yao inatokana na jinsi wanavyozalishwa(cross breeding) ila kwakweli hawa kuku kiuhalisia ni wale wale tu na tofauti ni ndogo sana.

Kwa mfano, nyama ya croiler (majogoo na mitetea) nyama za hawa kuku hazina ladha kabisa sawa na kuku wengine wa kisasa wa nyama.

Ukija kwenye mayai, mayai ya croiler na ya kuku hawa pure wa kisasa almost ni yale yale tu na ukizingatia vyakula vyao ni vile vile. Mayai yao hayafanani kabisa na ya kuku wa kienyeji.

Tofauti iliyo wazi ni hawa kuku aina ya croiler hasa majogoo kuwa makubwa na hivyo kuwa na uzito mkubwa kuliko kuku wa kienyeji na kuku wengine wa kisasa lila hata hivyo nyama yao sio nzuri licha ya kuwa ni wakubwa.

Kwahiyo, binafsi naona hawa kuku aina ya croiler ni sawa tu na kuku wengine wa kisasa na hawasthili kufananishwa kabisa na kuku wa kienyeji.
 
Kwa mara ya kwanza naona mada yako ambayo haihusiani na siasa. Vipi saso nao?
 
Atakosa ladha kama utamfungia ndani tu na kumlisha chakula cha hao broiler ila ukiwafunga kawaida mixer kuwapa majani wanakuwa na ladha nzuri kbs mkuu, mimi nawafuga kwa namna hiyo na hata mayai yao yanakuwa mazuri
 
Hawa croiler tunaambiwa wanakaribiana na kuku wa kienyeji tofauti na broiler ambao ni pure kuku wa kisasa.

Ukifuatilia utagundua tofauti yao inatokana na jinsi wanavyozalishwa(cross breeding) ila kwakweli hawa kuku kiuhalisia ni wale wale tu na tofauti ni ndogo sana.

Kwa mfano, nyama ya croiler (majogoo na mitetea) nyama za hawa kuku hazina ladha kabisa sawa na kuku wengine wa kisasa wa nyama.

Ukija kwenye mayai, mayai ya croiler na ya kuku hawa pure wa kisasa almost ni yale yale tu na ukizingatia vyakula vyao ni vile vile. Mayai yao hayafanani kabisa na ya kuku wa kienyeji.

Tofauti iliyo wazi ni hawa kuku aina ya croiler hasa majogoo kuwa makubwa na hivyo kuwa na uzito mkubwa kuliko kuku wa kienyeji na kuku wengine wa kisasa lila hata hivyo nyama yao sio nzuri licha ya kuwa ni wakubwa.

Kwahiyo, binafsi naona hawa kuku aina ya croiler ni sawa tu na kuku wengine wa kisasa na hawasthili kufananishwa kabisa na kuku wa kienyeji.
Mkuu nazani unachanganya mambo na pia kuna vitu huelewi.

Kuku wa Kuroiler ni Dual purpose yaani ni kwa ajili ya nyama na mayai, n hawa ni cross breed ilio husisha kuku wa nyama au Brouler wazazi.

So kuroiler ina damu ya Broiler.

Swala la ladha inategemea sana na aina ya vyakula anavyo kula kuku husika,

Mayai ubora unategemeana na vyakula na si aina ya kuku,
 
Usanii siku moja sister lete kuku wa kienyeji
Kaleta likuku kuubwa aisee tulipike vipi hamna ladha. Kumuuliza huyu kuku wa kienyeji kweli?
Aah si tunaambiwa hivyo.nilikula kibawa tu nikaacha.
Kuna mikuku croiler inauzwa huko gmboto paja buku 4000 kuku mzima wazee wa fasta wanabeba sana hizo jioni wanapeleka home.
 
Kama Arusha sokoni kuna nyama ya kuku inauzwa ukiona hilo paja lake ni kubwa mpaka unaweza kufikiri labda ni ndege wa mwituni sababu unawakuta tayari wamechinjwa unachoona ni minofu tu na kwa kawaida kuku wa kienyeji huwa si wakubwa vile.
 
Wale ni kuku wazazi wa Broiler mkuu, wanamilikiwa na haya mashamba yenye Hatchery kama Arusha Poultry Farm, Kibo Poultry na kadhalika, wana muda maalumu wa kutaga baada ya hapo wanapigwa bei
 
Usanii siku moja sister lete kuku wa kienyeji
Kaleta likuku kuubwa aisee tulipike vipi hamna ladha. Kumuuliza huyu kuku wa kienyeji kweli?
Aah
Kuna mikuku croiler inauzwa huko gmboto paja buku 4000 kuku mzima wazee wa fasta wanabeba sana hizo jioni wanapeleka home.
Hao sio kroiler kuna jina wanaitwa linaanzia na T
 
Hawa croiler tunaambiwa wanakaribiana na kuku wa kienyeji tofauti na broiler ambao ni pure kuku wa kisasa.
Tuanzie hapa ... hawa wanaitwa

1609231003681.png

The benefits of raising Kuroiler chicken

kuroiler-1024x768.jpg
Poultry farming has always been an interesting option for small entrepreneurs. It does not require a lot of capital to set up, it is easy to manage and most importantly, its returns are always lucrative. However, the introduction of the Kuroiler breed of chicken is consistently changing the poultry industry in Africa both at subsistence and commercial level as these birds seem to be steadily challenging traditional commercial and subsistence poultry farming methods by creating a new poultry farming niche combining both methods.

What is kuroiler chicken?
Kuroiler is a genetically improved breed from India, derived from crossing coloured broiler males with Rhode Island Red females and produce both eggs and meat.

This bird breed’s name seems to have been coined from the word BROILER, and then African Americanized to get the name KUROILER but we now see different variations of the same name depending on where someone is coming from including; KROILER, CROILER, CUROILER…

--
BENEFITS OF KEEPING KUROILER CHICKEN

Kuroiler chicken grow faster

Perhaps this is the biggest advantage of the Kuroiler chickens. They grow very fast. The best thing is that they grow fast without any special commercial feeding. They can put on weight very quickly in scavenging environment while feeding on leftovers of food, grass, termites and many other kinds of food. If a farmer is able to supplement the Kuroiler feeding with some commercial feeding or even locally available feeds such as yellow maize, soya, mukene and even the chicken mash, the Kuroiler can do really well. You need to vaccinate and deworm them just like you would other kinds of chicken on a regular schedule but that’s just about the kind of management effort that you will have to put up for your Kuroiler hens.

When do Kuroiler start laying eggs?

The Kuroiler chickens begin laying eggs at five months. Once they start, they will lay continuously for a period of 2 years. They also produce very big eggs with bright dark yellow egg yolks which are much preferred by many buyers. The Kuroiler eggs also contain more nutrients thanks to their scavenging lifestyle which exposes them to more nutrients during their feeding.

Get more eggs with Kuroiler

The Kuroiler hens produce at least 150-200 eggs per year compared to the ordinary kienyeji chickens which produce about 40 eggs per year. This is one of the reasons why the Kuroiler hens have been billed as the number one poverty eradicators. A farmer is able to increase their production four-fold without any costly investments in feeding or housing. It is important to note that unlike the local chicken, the Kuroiler hens do not brood i.e., they do not sit on their eggs. So if you want Kuroiler chicks, you will need to invest in an incubator.

Hatchability

The Kuroiler will not brood or sit on their eggs. However, when their eggs are put in the incubators or hatchery, they produce good hatchability results, meaning majority of these eggs will hatch compared to those of the local Kienyeji chicken. You can get hatchability of 80% and above.

Get more meat with Kuroiler

The Kuroiler chickens will mature in 10 weeks compared to other ordinary birds which can take as many as months before they mature. At maturity, the Kuroiler chickens will weigh up to 3.5Kgs which makes them better than broilers which generally weigh 2.0 to 2.5Kgs at maturity.

Kuroiler housing and rearing system

Kuroiler have all the advantages of the local birds which means you can keep them in the same housing where you keep your kienyeji. You can rear them in a fully free range or in semi free range conditions. The Kuroiler can also be reared in small spaces in the urban centres.
--

More LINKS:

1. The benefits of raising Kuroiler chicken

2. BENEFITS OF KEEPING KUROILER CHICKEN

--
cc: Salary Slip Sky Eclat Sky Eclat
 
Back
Top Bottom