Najibu kwa mfano wa swali:
Tazama hapa, unaona nini?
Hivyo unaweza ukatazama kitu kwa kuelekeza macho yako huko kilipo, usipokiona utakuwa umetakizama hicho kitu ila hukukiona. Ukikiona utakuwa umekitazama na pia umekiona.
Kwanini unaweza kutazama bila kuona
1. Inawezekana una uoni hafifu
2. Unachokitazama kipo mbali ama kidogo sana kiasi kwamba hakionekani kwa urahisi
3. Fikra zako zipo mbali na hicho Unachokitazama
4. Kitu unachojaribu kukitazama kimefichika au kimefichwa
nk