Tofauti kati ya kuona na kutazama

Tofauti kati ya kuona na kutazama

Kuona ni kuangalia bila ya kuchunguza vizuri. Kutazama ni kuangalia na kuchunguza kwa makini na kwa kina
 
Ntajaribu kwa ndani!
Vipofu wanatazama Lakini hawaoni, kwa hiyo unaweza kukuta mtu anatazama kitu kumbe Ni macho tu Ndo yako pale Lakini haoni, kuona Ni ile unaangalia kwa umakini kuanzisha macho na akili
 
Najibu kwa mfano wa swali:

Tazama hapa, unaona nini?

Hivyo unaweza ukatazama kitu kwa kuelekeza macho yako huko kilipo, usipokiona utakuwa umetakizama hicho kitu ila hukukiona. Ukikiona utakuwa umekitazama na pia umekiona.

Kwanini unaweza kutazama bila kuona
1. Inawezekana una uoni hafifu

2. Unachokitazama kipo mbali ama kidogo sana kiasi kwamba hakionekani kwa urahisi

3. Fikra zako zipo mbali na hicho Unachokitazama

4. Kitu unachojaribu kukitazama kimefichika au kimefichwa

nk
 
Back
Top Bottom