Tofauti kati ya LandRover vs RangeRover

Tofauti kati ya LandRover vs RangeRover

Land Rover ni jina la Kampuni inayotengeneza magari ikiwamo Range rover, ni kama labda Toyota na Lexus, au Volkswagen na Bentley, au BMW na Rolls Royce, n.k.
 
Range inaitwa Land rover Range Rover nadhani umeshajua ipi ni remix
Hujaelewa bado,
Hakuna niliposema Land Rover ndo remix ya Range Rover, ila Sijaelewa ulipoandika Range ni remix ya Range Rover. Gari fulani itakuaje remix ya gari hiyo hiyo?

Halafu sio mimi tu ambae sijakuelewa.
 
Hujaelewa bado,
Hakuna niliposema Land Rover ndo remix ya Range Rover, ila Sijaelewa ulipoandika Range ni remix ya Range Rover. Gari fulani itakuaje remix ya gari hiyo hiyo?

Halafu sio mimi tu ambae sijakuelewa.
Mkuu nilishajibu kuwa nilikosea sasa shida ipo wapi
 
Kumekuwa na ubishani kati ya gari hizi mbili kuwa wapo wanaosema ni gari totauti zisizo share feature yoyote au wengine wanasema zote ni gari za aina moja ila tofauti ni models .

Ukweli ni huu Kama inavyofahamika kuwa ni gari ya uingereza iliyofanya vizuri sokoni, uzalishaji wa gari aina ya LandRover ulianza miaka ya 1940s huku gari hii ikijichukulia sifa sokoni haswa soko la magari imilivu kwa rafu road( off-Road market) ikiwa na sifa ya Four-Wheel-Drive,baada ya kufanya vizuri kwa upande huo ndipo kampuni ya LandRover ikaona fursa upande wa soko la magari Luxury, sasa hapa ndio ikazaliwa gari aina ya RangRover mwaka 1970 ikawa na matoleo ya RangeRover sport,RangeRover Velar n RangRovee Evoque .Gari hii mpya ikabeba sifa za kuimili rafu rodi(off-Road car) pia ikiwa na ya ziada ya kuwa gari Luxury na hadi kufikia miaka ya 1980s,ikaanza kushika soko la America kama ni gari luxury inayouzika zaidi.
Hivyo basi tofauti kuu ya LandRover na RangeRover ni rahisi tu—- LandRover is the make and RangeRover is the model( hii ni sawa na kusema LandRover ni kampuni inayozalisha gari toleo la RangeRover) na ni sawa ukisema RangeRover zote ni LandRover lakini sio LandRover zote ni RangRover, baada ya RangeRover kuzalishwa kama toleo jipya ndani ya kampuni ya LandRover hvyo basi RangeRover inatambulika kama ni sub-brand ndani ya LandRover .
Land Rover-Make
Range Rover-Model
Land Rover Range Rover
Land Rover Discovery
Land Rover 109/110/Defender
 
Landrover jina la kampuni kama unavoona Toyota, BMW,

So kuna

Landrover Defender

Landrover discovery

Landrover Range rover

Landrover freelander

Kama vile toyota ist

Toyota verossa hope nimesome..
 
Land Rover-Make
Range Rover-Model
Land Rover Range Rover
Land Rover Discovery
Land Rover 109/110/Defender
Mkuu RRONDO ukipata nafasi naomba unipatie somo kidogo juu ya rangerover sport models, pamoja na ushauri ipi inayofaa kwa watu wenye kipato cha wastani.
Hii gari hua inanitoa sana udenda lakini vitisho vya watu vinanifanya niwe nasita kufanya maamuzi magumu.
Kuna moja ya mwaka 2006 HSE ni disel cc2700 nameielewa sana.
 
Mkuu RRONDO ukipata nafasi naomba unipatie somo kidogo juu ya rangerover sport models, pamoja na ushauri ipi inayofaa kwa watu wenye kipato cha wastani.
Hii gari hua inanitoa sana udenda lakini vitisho vya watu vinanifanya niwe nasita kufanya maamuzi magumu.
Kuna moja ya mwaka 2006 HSE ni disel cc2700 nameielewa sana.
Usiiogope mkuu cha msingi ujipange tuu kufanya utafiti kujuwa kila kitu kuhusu gari yako oil inatotumia na usiambiwe tuu weka sai40. Spea zipo kibao tuu Nina yangu p38 kama unainuwa gari mwanzo mwisho na unafanya service vizuri kwa wakati na ukijisi mlio usioeleweka au ukapata taazari kwenye dashboard unatatua haraka iwezekanavyo hauta jutia.
 
Back
Top Bottom