Wingu JF-Expert Member Joined Jan 14, 2011 Posts 4,318 Reaction score 409 May 8, 2012 #1 Kwa wale akina dada/wamama ambao hawajaolewa ni kuwa wanakuwa wamepigwa mimba.Kwa waliolewa ni wajawazito.Habari ndo hiyo napita mtaani tutaonana baadae
Kwa wale akina dada/wamama ambao hawajaolewa ni kuwa wanakuwa wamepigwa mimba.Kwa waliolewa ni wajawazito.Habari ndo hiyo napita mtaani tutaonana baadae
Angel Msoffe JF-Expert Member Joined Jun 21, 2011 Posts 6,781 Reaction score 1,658 May 8, 2012 #2 sijui nikuiteje
Wingu JF-Expert Member Joined Jan 14, 2011 Posts 4,318 Reaction score 409 May 8, 2012 Thread starter #3 Msema ukweli. Angel Msoffe said: sijui nikuiteje Click to expand...
Dr Lizzy Platinum Member Joined May 25, 2009 Posts 31,010 Reaction score 60,484 May 8, 2012 #4 Pumba Express.
The secretary JF-Expert Member Joined Jan 14, 2012 Posts 4,148 Reaction score 2,542 May 8, 2012 #5 Angel Msoffe said: sijui nikuiteje Click to expand... Mwite down syndrome.hivi yule new born mliwita nani?
Angel Msoffe said: sijui nikuiteje Click to expand... Mwite down syndrome.hivi yule new born mliwita nani?
EBENEZA MT JF-Expert Member Joined Jul 4, 2011 Posts 264 Reaction score 50 May 8, 2012 #6 Huyu ng'ombe (mnyama) ana mimba na atazaa. huyu dada ni mjamzito na atajifungua. (tafsida)
gambachovu JF-Expert Member Joined Dec 29, 2011 Posts 1,854 Reaction score 293 May 8, 2012 #7 Mbona haina ladha kabisa thread yako?
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 77,270 Reaction score 111,361 May 8, 2012 #8 mi nadhani ile hali ya kuwa na mimba inaitwa ujauzito...yaani mimba ni kile kiumbe kilichobebwa na ujauzito ni hali ya kuwa na hicho kiumbe...
mi nadhani ile hali ya kuwa na mimba inaitwa ujauzito...yaani mimba ni kile kiumbe kilichobebwa na ujauzito ni hali ya kuwa na hicho kiumbe...
WaliNazi JF-Expert Member Joined Mar 7, 2012 Posts 851 Reaction score 96 May 8, 2012 #9 ....naugopa kula ban.... ngoja nimezee tu..
BADILI TABIA JF-Expert Member Joined Jun 13, 2011 Posts 32,766 Reaction score 23,230 May 8, 2012 #10 ujauzito unakaa tumboni, na mimba inakaa mgongoni nini?
la Jeneral JF-Expert Member Joined Oct 8, 2010 Posts 392 Reaction score 57 May 9, 2012 #11 uzi mkavuuuu cjawah ona,lol?
IamError_D JF-Expert Member Joined Dec 21, 2011 Posts 441 Reaction score 117 May 11, 2012 #12 mi napita tu....