huo ni mtazamo wako tu ila si kweli
Aliyeelimika(civilised) hawez kutupa karatas chin kama uchafu lkn educated anaweza. Hii inamaanisha aliyeelimika na aliyesoma wote wameenda shule ila anayeamua kutupa taka bila utaratibu ndo hajaelimika na anayetupa tupa taka kwenye jaa kaelimika na aliosoma.