MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
kuna tofauti gani kati ya mtu aliyesoma na mtu aliyeelimika? hili jambo huwa linanitatiza mno haswa nikiwaangalia wasomi wetu wa sasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
aliesoma ni mtu aloenda shule nakupata elim na alie elimika hajaenda shule lakn anaujuz/ufaham wa ktu flan
kuna tofauti gani kati ya mtu aliyesoma na mtu aliyeelimika? hili jambo huwa linanitatiza mno haswa nikiwaangalia wasomi wetu wa sasa