Baisa thamani yake ndogo, 1 OMAN rial ni sawa na baisa 1000. Ni sawa na mtu uwe na yale ma coins ya USD utegemee ukija bongo utabadilisha kwenda Tzs, hawakubali. Hivyo hii system ni kwa pesa zote, USD, Oman Rial, UAE Dirham au Kuwait Dinar wanaruhusu bongo kubadilisha kuanzia moja ( 1USD, 1 Dirham, 1 OMAN Rial) na sio denominations zake.