kelvnjohn
Member
- Dec 12, 2018
- 34
- 17
Naomba kuuliza hivi ela za Oman aina ya baisa INA maana hazitumiki huko omani na kwanini Tanzania wanakataa kubadili Baisa, Ila wanakubali Riyal INA maana baisa hazitumiki tena au hazitumiki tz pekee maan Nina baisa naitaji kubadili
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app