Tofauti kati ya Rais Asharaf Ghani wa Afghanistan na Vlodmir Zelensky wa Ukraine

imhotep

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
55,997
Reaction score
88,219
Wadau, inakuwaje Kiongozi mmoja anaikimbia Nchi yake na watu wake na mwingine anakomaa na kuongoza mapambano.

Hata hapa Nyumbani kuna Kiongozi mmoja Uviko wa kumi na tisa ulipoingia alikimbilia Kijijini kwao Chato.
Je ni malezi ndio yanayosababisha Kiongozi mmoja kuwa jasiri na mwingine kuwa Goigoi?
 
Alikimbilia Chato wakati hadi miaka 1000 ijayo bado legacy ya JPM haitafutika kuwa ni yeye pekee mwamba ulioshinda vita dhidi ya COVID-19 kwa hamasa za maombi na imani kwa Raia wote wa TZ duniani kote.....[emoji848][emoji3526]
 
Kwa tafasiri yako nikwamba. Chato hapakuwa na uviko

Chato hapakuwa tanzania

Chato hapakuwa nyumbani kwao

Jamaa hakuwa kiongozi wa tanzania ila baada ya kuibuka kwa uviko akakimbilia tanzania ama mi nimeelewa viibaya.

Harafu nyie wana dar mnaonaga mtu akitoka kwenu akaenda mikoa mingine nikama kahama nchi

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
Alikimbilia Chato wakati hadi miaka 1000 ijayo bado legacy ya JPM haitafutika kuwa ni yeye pekee mwamba ulioshinda vita dhidi ya COVID-19 kwa hamasa za maombi na imani kwa Raia wote wa TZ duniani kote.....[emoji848][emoji3526]
Hivi ukiuwawa na adui ndo kumshinda? Nae kamshinda mwenzie kati ya Jiwe na Covid19?
 
Kiongozi wa Ukurein ni mwanajeshi katika levo kubwa kijeshi ,Babu yake alikua jenerali wa jeshi la Urusi na kapigana vita ya pili ya Dunia.Pia kumbuka hii vita ni planed na lengo ni kumwondoa Putin so Ukurein inatumika kama chambo tu na Wana full sapot kutoka NATO .Ni muda mfupi ujao utawaina NATO wanaingia moja kwa moja kumpiga Putin kwa nguvu Zote na this time Putin atakua historia.
 
Tofauti kubwa kati ya Ashraf Ghani na Zelensky ni Ghani ni Mzee na Zelensky ni Kijana
 
Una uhakika gani kua Zelesky bado yupo Ukraine?
 
Kiongozi wa Ukurein ni mwanajeshi katika levo kubwa kijeshi ,Babu yake alikua jenerali wa jeshi la Urusi na kapigana vita ya pili ya Dunia.Pia kumbuka hii vita ni planed na lengo ni kumwondoa Putin so Ukurein inatumika kama chambo tu na Wana full sapot kutoka NATO .Ni muda mfupi ujao utawaina NATO wanaingia moja kwa moja kumpiga Putin kwa nguvu Zote na this time Putin atakua historia.
Mtu yupo Uvinza akidhani kuingia urusi ni kama kuingia burundi
 
Back
Top Bottom