Alikimbilia Chato wakati hadi miaka 1000 ijayo bado legacy ya JPM haitafutika kuwa ni yeye pekee mwamba ulioshinda vita dhidi ya COVID-19 kwa hamasa za maombi na imani kwa Raia wote wa TZ duniani kote.....[emoji848][emoji3526]Wadau, inakuwaje Kiongozi mmoja anaikimbia Nchi yake na watu wake na mwingine anakomaa na kuongoza mapambano.
Hata hapa Nyumbani kuna Kiongozi mmoja Uviko wa kumi na tisa ulipoingia alikimbilia Kijijini kwao Chato.
Je ni malezi ndio yanayosababisha Kiongozi mmoja kuwa jasiri na mwingine kuwa Goigoi?
Hivi ukiuwawa na adui ndo kumshinda? Nae kamshinda mwenzie kati ya Jiwe na Covid19?Alikimbilia Chato wakati hadi miaka 1000 ijayo bado legacy ya JPM haitafutika kuwa ni yeye pekee mwamba ulioshinda vita dhidi ya COVID-19 kwa hamasa za maombi na imani kwa Raia wote wa TZ duniani kote.....[emoji848][emoji3526]
Mtu yupo Uvinza akidhani kuingia urusi ni kama kuingia burundiKiongozi wa Ukurein ni mwanajeshi katika levo kubwa kijeshi ,Babu yake alikua jenerali wa jeshi la Urusi na kapigana vita ya pili ya Dunia.Pia kumbuka hii vita ni planed na lengo ni kumwondoa Putin so Ukurein inatumika kama chambo tu na Wana full sapot kutoka NATO .Ni muda mfupi ujao utawaina NATO wanaingia moja kwa moja kumpiga Putin kwa nguvu Zote na this time Putin atakua historia.