vicoba kwa maana halisi ni benki ya kijiji kwa maana ya kwamba ni benki inayoundwa na watu kuanzia 2-10 ambapo mfumo wa kukuza mtaji wao ni pale mwanachama anapo nunua HISA ambazo watakubaliana wao kwa kirefu inajulikana kama village community bank lakini SACCOS ni ushirika wa wanajamii wenye malengo ya kuweka na kukopa kwa malengo ya kuendeleza uchumi wao na kwa mara ya kwanza saccos zianzia ujerumani mwaka 1847, na kwa kirefu wa ushirika huu ni S=saving A= and C= credit CO=co-operative S=society