Tofauti kati ya SACCOSS na VICOBA

Tofauti kati ya SACCOSS na VICOBA

ufumawicha

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2014
Posts
504
Reaction score
209
Msaada jamani naomba mnitofautishie kati ya Viccoba na Saccoss.Pia kati ya wawili hao nani ana faida kubwa?
 
Msaada jamani naomba mnitofautishie kati ya Viccoba na Saccoss.Pia kati ya wawili hao nani ana faida kubwa?

Kwa kweli nami hua nashindwa kuelewaga tofauti ya vypombo hivi viwili malengo na namna ya uendeshwaji pia, hebu wataalamu mtujuze!!
 
vicoba kwa maana halisi ni benki ya kijiji kwa maana ya kwamba ni benki inayoundwa na watu kuanzia 2-10 ambapo mfumo wa kukuza mtaji wao ni pale mwanachama anapo nunua HISA ambazo watakubaliana wao kwa kirefu inajulikana kama village community bank lakini SACCOS ni ushirika wa wanajamii wenye malengo ya kuweka na kukopa kwa malengo ya kuendeleza uchumi wao na kwa mara ya kwanza saccos zianzia ujerumani mwaka 1847, na kwa kirefu wa ushirika huu ni S=saving A= and C= credit CO=co-operative S=society
 
umejibu kwa confidence sana, majibu nimeyapenda yamenipa mwanga na uelewa, ingawa sijui kama ni sahihi
 
Back
Top Bottom