Hivyo vigari vinafanana saana. Kuna tofauti chache saana ambazo nimewahi kunotice. Allex ni kubwa kidogo kwa ndani kulinganisha na Runx. Na kina muonekano mzuri kidogo kwenye ile front grille. So nahisi Allex is more of a luxury version of it the Corolla wakati Runx ni sporty kidogo. Sababu steering yake ni ngumu kidogo so handling ni nzuri zaidi kuliko Allex. Ila ukiniuliza mimi, zile atakaechukua Allex hana cha kumiss saana kutoka kwa Runx and vice versa.
Bro habari.
JamiiForums
JF Garage (Magari na Vyombo vya Usafiri)
Toyota IST na Toyota ALLEX ipi bora
Thread starterng'ombo Start dateMar 9, 2018
WATCH
ng'ombo
Ng'ombo
JF-Expert Member
Mar 9, 2018
Add bookmark
#1
Habari za wanabodi wezangu nnaomba ushauri wenu katika aina hizo mbili za magari hapo juu kwa uzoefu wenu ipi ni bora zaidi kwa uimara wa bodi na upatikanaji wake wa vipuri. Nnakaribisha maoni yenu.
Thanks
Quote
Reply
Report
Shida na raha
Shida Na Raha
JF-Expert Member
Mar 9, 2018
Add bookmark
#2
Kabla haujaja kwetu naamini kuna chaguo lako ambalo ulikua tayari kushajiwekea...haya nikuulize wewe unapenda ipi ndani ya moyo wako.
Thanks
Quote
Reply
Report
Luhuye
JF-Expert Member
Mar 9, 2018
Add bookmark
#3
Ist ni nzuri zaidi hata bodi yake haichoki mapema
Thanks
Quote
Reply
Report
Osaba
Osaba
JF-Expert Member
Mar 9, 2018
Add bookmark
#4
Alex iko poa zaidi na ina body ngumu kuliko ist
Thanks
Quote
Reply
Report
Thanks Reactions:LEARNED BROTHER
yokozuna yokohama
Yokozuna Yokohama
Member
Mar 9, 2018
Add bookmark
#5
Toyota Yohana
Thanks
Quote
Reply
Report
Thanks Reactions:kmayunga and ELI-91
ng'ombo
Ng'ombo
JF-Expert Member
Mar 9, 2018
Add bookmark
#6
Shida na raha said:
Kabla haujaja kwetu naamini kuna chaguo lako ambalo ulikua tayari kushajiwekea...haya nikuulize wewe unapenda ipi ndani ya moyo wako.
Zote nnazipenda mkuu ila ktk manunuzi inabidi kuchagua moja sasa kabla ya kununua nilitaka kujua kila moja uimara wake wa body, unywaji wa wese na upatikanaji wa vipuri
Thanks
Quote
Reply
Report
ng'ombo
Ng'ombo
JF-Expert Member
Mar 9, 2018
Add bookmark
#7
Osaba said:
Alex iko poa zaidi na ina body ngumu kuliko ist
Vipi kuhusu unywaji wa wese.?
Thanks
Quote
Reply
Report
Shida na raha
Shida Na Raha
JF-Expert Member
Mar 9, 2018
Add bookmark
#8
ng'ombo said:
Vipi kuhusu unywaji wa wese.?
Kwa upande wa mafuta chukua ist.
Thanks
Quote
Reply
Report
Extrovert
Extrovert
JF-Expert Member
Mar 9, 2018
Add bookmark
#9
Ist ni 1.5 ltrs top while allex ni 1.8 ltrs top kwahio ni wazi kuwa ist haitakula sana kiwese
Thanks
Quote
Reply
Report
Thanks Reactions:kmayunga
ng'ombo
Ng'ombo
JF-Expert Member
Mar 9, 2018
Add bookmark
#10
Extrovert said:
Ist ni 1.4 ltrs while allex ni 1.8 ltrs kwahio ni wazi kuwa ist haitakula sana kiwese
Vipi kuhusu Toyota carina Ti.?
Thanks
Quote
Reply
Report
Thanks Reactions:Extrovert
Mamaya
Mamaya
JF-Expert Member
Mar 9, 2018
Add bookmark
#11
Extrovert said:
Ist ni 1.4 ltrs while allex ni 1.8 ltrs kwahio ni wazi kuwa ist haitakula sana kiwese
Hapana Ist zipo za 1200cc na 1490cc, alex zote ni 1490cc hakuna yenye 1800cc
Thanks
Quote
Reply
Report
Thanks Reactions:Jephta2003
Johsal
Johsal
Senior Member
Mar 9, 2018
Add bookmark
#12
ng'ombo said:
Zote nnazipenda mkuu ila ktk manunuzi inabidi kuchagua moja sasa kabla ya kununua nilitaka kujua kila moja uimara wake wa body, unywaji wa wese na upatikanaji wa vipuri
Mkuu IST na Allex zote ni gari ndogo sana kiasi cha kuwaza juu ya consumption ya mafuta, yaaan ukiweka mafuta ya elfu hamsini utazunguka na gari mpaka utajisikia vibaya kwa nn mafuta hayaishi.
Hapo angalia unavutiwa hasa gari gani ndo ununue. Spare usiwaze zipo kila kona ya hii nchi hadi Tandahimba zinapatikana. Cha msingi zingatia service na uitunze vzr kana kwamba unatarajia kuiuza muda sio mrefu.
Thanks
Quote
Reply
Report
Thanks Reactions:kmayunga, Cognitivist and Jephta2003
chaliifrancisco
Chaliifrancisco
JF-Expert Member
Mar 9, 2018
Add bookmark
#13
Hiyo Toyota Allex itakua bora maana unaweza ukaiita "alexxxx" ikakufuata
Thanks
Quote
Reply
Report
Countrywide
Countrywide
JF-Expert Member
Mar 9, 2018
Add bookmark
#14
Mamaya said:
Hapana Ist zipo za 1200cc na 1490cc, alex zote ni 1490cc hakuna yenye 1800cc
umekosea, IST zipo za cc 1290, cc 1490 na cc 1790.
Allex zipo za cc 1490 na cc 1790
usiweke neno hakuna kama hujui jambo vizur!
Thanks
Quote
Reply
Report
Thanks Reactions:kmayunga, konge and Jephta2003
Extrovert
Extrovert
JF-Expert Member
Mar 10, 2018
Add bookmark
#15
ng'ombo said:
Vipi kuhusu Toyota carina Ti.?
Carina Ti nayo ni 1.5ltrs....Kwa uzoefu gari nyingi zenye injini ya ujazo huo huwa hazili mafuta sana
Thanks
Quote
Reply
Report
SUPERUSER
SUPERUSER
JF-Expert Member
Mar 10, 2018
Add bookmark
#16
Ist ..iko juu haigusi chini .. ni ngumu..low fuel consumption.. enough space..ist ata ukisema unauza leo ni fasta ..tena angiza ya 2006 utainjoy zaidi
Thanks
Quote
Reply
Report
Thanks Reactions:kmayunga, Extrovert and Jephta2003
Extrovert
Extrovert
JF-Expert Member
Mar 10, 2018
Add bookmark
#17
SUPERUSER said:
Ist ..iko juu haigusi chini .. ni ngumu..low fuel consumption.. enough space..ist ata ukisema unauza leo ni fasta ..tena angiza ya 2006 utainjoy zaidi
Kwahivyo allex sio ngumu
Thanks
Quote
Reply
Report
Popoma03
JF-Expert Member
Mar 10, 2018
Add bookmark
#18
yokozuna yokohama said:
Toyota Yohana
Hizo gari mnazitengeneza chato??
Thanks
Quote
Reply
Report
Thanks Reactions:kmayunga
Moddybrown
Member
Mar 14, 2018
Add bookmark
#19
Carina Ti ni 1500cc ni nzuri kuliko IST kwa matumizi
Thanks
Quote
Reply
Report
Mlolongo
Member
New
Add bookmark
#20
Extrovert said:
Kwahivyo allex sio ngumu
Jombaa Extrovert hujambo.
Sikia bro, kuna hizi gari mbili nazi-admire sana... Toyota Allion na Toyota Allex. Unakuta zote zina cc 1490 tuseme.
Huwa nikiitazama Allex naona ni kama walichukua Allion wakaikata matako yake ikawa fupi.
Lakin kinachonishangaza gari zote mbili zinauzwa kwa bei almost sawa kwenye masoko mengi ilhali moja ni mdogo nyingine ni medium saloon.
Sasa inakuaje watu wanachukua ki-babywalker Allex kwa bei sawa na wangenunua tu Allion ambayo iko more comfortable.
Ama kuna kitu sikielewi mkuu...
Mfano nikijichanga mdogo mdogo nikawa na 10 million mfukon, naweza pata moja ya gari hizo. Unanishauri nichukue gari gani kati ya hizo.