Hahahahahahahaaaaaaamy ribs !haahah eti watakatifu pita hv !hahahahaha uwii nadhan ni stress tu hizi aisee
Yani aheri ukamtafuta mtu mzima umuombe ushauri kuliko kuomba kwenye mitandao. Tena unawaomba wabongo?Hahahahahahahaaaaaa my ribs
Ni shida sana sema unakuta mtu yupo serious watu wengine wanaleta utani......too badYani aheri ukamtafuta mtu mzima umuombe ushauri kuliko kuomba kwenye mitandao. Tena unawaomba wabongo?
Mimi huwa nikitaka ushauri kuna forum moja inaitwa QUORA hiyo watu wako serious na ni forum ya kimataifa.
Sasa kama unajua utapata majibu ya kejeli kuna haja gani ya kuuliza.Ni shida sana sema unakuta mtu yupo serious watu wengine wanaleta utani......too bad
Ila ndo jamii yetu inayotuzunguka inabidi kuwazoea tu na hasa ukiwajua hawakupi shida
Sio wote wana majibu mabaya kuna baadhi yao wana majibu mazuri na ukiyafuatilia yanaweza kusaidiaSasa kama unajua utapata majibu ya kejeli kuna haja gani ya kuuliza.
Bora uende kwenye forums zenye kueleweka
Tuachie repeatersRepetition