Tofauti kati ya Watanzania na wazungu wanapotuma post za kuomba ushauri

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hahahahahahahaaaaaa my ribs
Yani aheri ukamtafuta mtu mzima umuombe ushauri kuliko kuomba kwenye mitandao. Tena unawaomba wabongo?

Mimi huwa nikitaka ushauri kuna forum moja inaitwa QUORA hiyo watu wako serious na ni forum ya kimataifa.
 
Ni shida sana sema unakuta mtu yupo serious watu wengine wanaleta utani......too bad

Ila ndo jamii yetu inayotuzunguka inabidi kuwazoea tu na hasa ukiwajua hawakupi shida
 
Sasa kama unajua utapata majibu ya kejeli kuna haja gani ya kuuliza.

Bora uende kwenye forums zenye kueleweka
 
Sio wote wana majibu mabaya kuna baadhi yao wana majibu mazuri na ukiyafuatilia yanaweza kusaidia
 
Back
Top Bottom