1. X ray na ultrasound sehemu nyingi hazitofautiani sana gharama, na nafuu kuliko MRI. Hospitali nyingi za serikali haizidi elfu 30.Habari wakuu.
Naomba kujua tofauti kati ha hivi vitatu interms of-
1/Cost
2/Ubora wa picha "Clear image"
3/Effect kwenye mwili wa binadamu mfano mionzi ya X-rays na madhara ya MRI na Ultra sound.
4/Upatikanaji hapa kwenye hospitali zetu na za binafsi pia sio mbaya mkaziorodhesha zote ili iwe rahisi kupata huduma kwa watu walio sehemu mbalimbali za nchi.
5/Uhitaji wa wataalamu.
1. X ray na ultrasound sehemu nyingi hazitofautiani sana gharama, na nafuu kuliko MRI. Hospitali nyingi za serikali haizidi elfu 30.
2. Hakuna suala la ubora wa picha maana kila kimoja kina fanya kazi kwa namna yake. Ila MRI inauwezo mkubwa wa kuchunguza hata kasoro ndogo ndogo sana ambazo ultrasond inaweza isizioneshe.
3. Miozi ijukikane tu kuwa si salama kwa binadamu, lakini madhara yake si makubwa hasa kwa ultrasound na MRI, X ray zenyewe ndio si nzuri kupiga mara kwa mara hata maeneo ya kichwa na kifua pasipo ulazima wa kufanya hivyo.
4. X ray na ultrasound zinafanyika karibu vituo vyote vya afya vyenye hazi ya hispitali. MRI nazo zinapatikana kwa baadhi ya hospitali kubwa kubwa, Aga Khan utapata huduma, ile ya Mkapa dodoma utapata huduma, hata Muhimbili pia
Shukrani mkuu nadhani MRI ndio bora Zaidi.1. X ray na ultrasound sehemu nyingi hazitofautiani sana gharama, na nafuu kuliko MRI. Hospitali nyingi za serikali haizidi elfu 30.
2. Hakuna suala la ubora wa picha maana kila kimoja kina fanya kazi kwa namna yake. Ila MRI inauwezo mkubwa wa kuchunguza hata kasoro ndogo ndogo sana ambazo ultrasond inaweza isizioneshe.
3. Miozi ijukikane tu kuwa si salama kwa binadamu, lakini madhara yake si makubwa hasa kwa ultrasound na MRI, X ray zenyewe ndio si nzuri kupiga mara kwa mara hata maeneo ya kichwa na kifua pasipo ulazima wa kufanya hivyo.
4. X ray na ultrasound zinafanyika karibu vituo vyote vya afya vyenye hazi ya hispitali. MRI nazo zinapatikana kwa baadhi ya hospitali kubwa kubwa, Aga Khan utapata huduma, ile ya Mkapa dodoma utapata huduma, hata Muhimbili pia
Ni sawa mkuu. Inatumia mawimbi ya sauti na mwangwi, sema ndio hivyo humu unaweza ukatoa maelezo ya ndani ndani kidogo kumbe ndio mtu akapotea kabisa asielewe kitu. Ndio maana majibu ni ya general sana tena juu juu.3. ultrasound na MRI hazitoi Mionzi.
Kinaogopesha!! Kivipi mkuu?? Elezea plzUkitaka kupata uzoefu wa kuwa kwenye jeneza utaupata kwenye MRI
Hicho kipimo ni kwa vile tu ni ugonjwa hauna namna ila kinaogopesha