jf user
JF-Expert Member
- Aug 22, 2018
- 777
- 623
Habari wakuu.
Naomba kujua tofauti kati ha hivi vitu MRI, X-rays, Ultra sound na CT Scan interms of-
1/Cost
2/Ubora wa picha "Clear image"
3/Effect kwenye mwili wa binadamu mfano mionzi ya X-rays na madhara ya MRI na Ultra sound.
4/Upatikanaji hapa kwenye hospitali zetu na za binafsi pia sio mbaya mkaziorodhesha zote ili iwe rahisi kupata huduma kwa watu walio sehemu mbalimbali za nchi.
5/Uhitaji wa wataalamu.